Mashindano ya Draft - Ronaldo Awa Bingwa Kwa Kumfunga Issa Mamba


Hapo kwa hao jamaa zako ni kwamba miguu yako yote wanaijua, na wanakuwa wanaweza ku-predict move zako kwa sababu ya kucheza muda mrefu na wewe.

Hata hawa mabingwa huwa wakikutana wa kambi moja utaona sare zinakuwa nyingi sana kwa sababu copy zao zote wanazo (wanajuana).

Na Bingwa akifungwa mchezo fulani atatafuta mtu wa kumwelekeza jinsi ya kutoa sare au kushinda hiyo game, na unakuta anaanza kutafuta either kutoka kwenye kambi yako au anaenda moja kwa moja kwa mtaalamu Mangwez.
 
SURE... manake hata mnapokuwa wawili tu, wakati hamna pressure yoyote toka wa watu, bado mtakuwa mnacheza hadi anakuwa anakujua nje ndani!!
 
hawa bado nawasikia tu sijawahi kuwaona
 
Hongera sana kwa kunipa update kuhusu mchezo wa draft, mm ni mdau mkubwa sana wa mambo hayo, huyo Mangwengwele au Mangwes aliwahi kunifunga michezo 10 bao 10, kiukweli ameshindikana ktk mchezo wa draft ndio maana siku hizi amekuwa refarii tu, huyo na Noel ni hatari, kuna mwingine simsikii cku hiz anaitwa Shaaban Katoto, wana balaa hao, endelea kutupa habari zao kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…