Mashindano ya Draft - Ronaldo Awa Bingwa Kwa Kumfunga Issa Mamba

Kuna sehemu niliendaga nikakutawanacheza draft nikawaangaliaaaaaaa, nikawaambia kama wanapesakidogo niwafundishe tatu mpya waka nidharau.
Nikawaambia basi ngoja niwapanguse wooote,nikaingia nikapiga vichwa 6. Waka endakumuita sijui nani nikawaambia sichezitena bure wakaleta tikitimaji mimi nikaweka simuyangu basi jamaa walie mleta nilikuwa namuwekea ngumu tupu, dakika 8 hachezi badae kabla mchezo haujaisha akasimama akaondoka maana nilitega manyuklia matupu akakwepa aibu nikachukua tikitimaji nikaendelea na safariyangu.

Tatizo la drafti halina maendeleo wachezaji wote wamechokatu.
 
Daaah..hatari sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ebu tupe mbinu za ushindi..mana kufungwa draf aibu sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ebu tupe mbinu za ushindi..mana kufungwa draf aibu sana.

#MaendeleoHayanaChama
Draft sio mchezo wa ushindi, draft limetengenezwa ili michezo yote iwe sare sasa kama akili fupi nduguyangu utachezea kipondo kilasiku.

Kuwa mjanja kuanzia leo, yoyote unaechezanae we cheza yote mawili yani lakwako na la adui iliujue utakapo cheza yeye atacheza wapi ukijua hivyo tayari umejua kwa kiwango cha juu.
 
Nyinyi watu acheni uzamani. Piga picha hao mnaowasema nasi tuwaone, kila siku mnaongea tu na hatuoni walau picha zao
 
dalmax 95% kwang ni mboga tu , ila 100% huwa tunatoa sare hata 4 na kupoteza 1 kwenye michezo 5
Hiyo zamani. Siku hizi dalmax anakaa.

Kama una akaunti tanzania draughts njoo tupige kete.
 
we ni tula ,ujui bao
 
Mpaka sasa ni nani Bora kwenye mchenzo wa drafting???
 
Alooo hizo tatu mpya ndio zipi ? Kuna mkoa nlienda nlipangusa kijiwe kizima na watu wake aloo wakanisifia kumbe copy naziangaliaga manyanya pale kina sisco wakiwa wanapangusana, acha kabisa
 
Hao wote nikikutana NAO nawafunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…