- Thread starter
- #21
Mwanetu mkulima nae ajitokeze tumuone pale.
Hivi jamaa akijitokeza watamkubali kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanetu mkulima nae ajitokeze tumuone pale.
Kwanni mzee, ila yule jamaa anahesabu kubwa sana kila kete anagusa kwa malengo maalum.Hivi jamaa akijitokeza watamkubali kweli?
Kwanni mzee, ila yule jamaa anahesabu kubwa sana kila kete anagusa kwa malengo maalum.
Kuna jamaa anaitwa Rama, atakuwepo? Mngeunda hata youtube channel muweke hizo game.
Uzuri wa mashindano hakuna kulala, kwa hiyo inabidi akili ya kufikiria iwe fasta.
Saahizi wametoa tozo ya Youtube. Nibure kuimiliki. So mtu anatakiwa tu kuwa na kamera au simu nzuri ya kurekodi. Ukiweka mechi za mabingwa utapata tu views. Nimeona baadhi ya wadau wanafundisha mule wanapatq views elfu kadhaa.Tatizo la huu mchezo ni udhamini, na pia watu hawauchukulii serious.
Kwa hiyo kusema mtu afungue YouTube channel ni gharama sana, kuna wadau huwa wanajaribu lakini unapata views chache sana.
Kwa hiyo mchezo unabaki baina ya wadau.
Saahizi wametoa tozo ya Youtube. Nibure kuimiliki. So mtu anatakiwa tu kuwa na kamera au simu nzuri ya kurekodi. Ukiweka mechi za mabingwa utapata tu views. Nimeona baadhi ya wadau wanafundisha mule wanapatq views elfu kadhaa.

Mkuu muda, muda sahihi wamitanange itakavyoanza tujue..Mashindano makubwa ya Draft Tanzania yanatarajiwa kufanyika Tar 7 July, 2021
Mshindi wa kwanza anatarajiwa kuondoka na kitita cha shilingi 700,000/-.
Yamepangwa kufanyikia Kinondoni Manyanya.
Mafundi wote unaowajua wanatarajiwa kuwepo.
Baadhi ya mafundi wanaotarajiwa kuwepo ni:
Ronaldo (Field Marshall), Noel, Issa (Meno ya Mamba), Nduli, Dogo Sisqo, Dogo Yassin, Simba Dodoma, Shabani Katoto, Hemedi Gaidi na wengine wengi.
Mtaalamu Mkuu wa Madraft Mr Mangwelele atakuwa mmoja wa waratibu.
Tutaendelea kupeana updates za nini kitakachojiri na kama kuna mabadiliko yoyote.
Huyo dogo yassin future is bright..Mashindano makubwa ya Draft Tanzania yanatarajiwa kufanyika Tar 7 July, 2021
Mshindi wa kwanza anatarajiwa kuondoka na kitita cha shilingi 700,000/-.
Yamepangwa kufanyikia Kinondoni Manyanya.
Mafundi wote unaowajua wanatarajiwa kuwepo.
Baadhi ya mafundi wanaotarajiwa kuwepo ni:
Ronaldo (Field Marshall), Noel, Issa (Meno ya Mamba), Nduli, Dogo Sisqo, Dogo Yassin, Simba Dodoma, Shabani Katoto, Hemedi Gaidi na wengine wengi.
Mtaalamu Mkuu wa Madraft Mr Mangwelele atakuwa mmoja wa waratibu.
Tutaendelea kupeana updates za nini kitakachojiri na kama kuna mabadiliko yoyote.
Umeongea nao? Kama umefanya hivyo hongera kwa kizingatia ushauriSiku ya ufunguzi kutakuwa na coverage kwa Millard Ayo, tutangalia kama kuna namna ya kurusha vipande vya michezo ya nusu fainali na fainali yenyewe.
I hope itakuwa successful.
Umeongea nao? Kama umefanya hivyo hongera kwa kizingatia ushauri
Daaah! Swedi nilikutanaga nae pale sinza ... Akamchakaza Ronaldo Kama mtoto vile yule jamaa naona anajua saana.Tutakutana.. Noel namaloe VIP atakuepo. ,?. Sued bingwa wa Patana..?wapi kwata mwivi....ulimwengu wa madraft una raha yake
Mkuu muda, muda sahihi wamitanange itakavyoanza tujue..
Muhimu sana,.
Wadau tufike
Daaah! Swedi nilikutanaga nae pale sinza ... Akamchakaza Ronaldo Kama mtoto vile yule jamaa naona anajua saana.