Mashindano ya Drafti kitaifa

Mashindano ya Drafti kitaifa

Uzuri wa mashindano hakuna kulala, kwa hiyo inabidi akili ya kufikiria iwe fasta.

Tatizo la huu mchezo ni udhamini, na pia watu hawauchukulii serious.

Kwa hiyo kusema mtu afungue YouTube channel ni gharama sana, kuna wadau huwa wanajaribu lakini unapata views chache sana.

Kwa hiyo mchezo unabaki baina ya wadau.
 
Saahizi wametoa tozo ya Youtube. Nibure kuimiliki. So mtu anatakiwa tu kuwa na kamera au simu nzuri ya kurekodi. Ukiweka mechi za mabingwa utapata tu views. Nimeona baadhi ya wadau wanafundisha mule wanapatq views elfu kadhaa.
 
Tutawapa ushauri wadau, nitatoa mrejesho kupitia thread hii hii.
 
Saahizi wametoa tozo ya Youtube. Nibure kuimiliki. So mtu anatakiwa tu kuwa na kamera au simu nzuri ya kurekodi. Ukiweka mechi za mabingwa utapata tu views. Nimeona baadhi ya wadau wanafundisha mule wanapatq views elfu kadhaa.

Siku ya ufunguzi kutakuwa na coverage kwa Millard Ayo, tutangalia kama kuna namna ya kurusha vipande vya michezo ya nusu fainali na fainali yenyewe.

I hope itakuwa successful.
 
Mashindano makubwa ya Draft Tanzania yanatarajiwa kufanyika Tar 7 July, 2021

Mshindi wa kwanza anatarajiwa kuondoka na kitita cha shilingi 700,000/-.

Yamepangwa kufanyikia Kinondoni Manyanya.

Mafundi wote unaowajua wanatarajiwa kuwepo.

Baadhi ya mafundi wanaotarajiwa kuwepo ni:

Ronaldo (Field Marshall), Noel, Issa (Meno ya Mamba), Nduli, Dogo Sisqo, Dogo Yassin, Simba Dodoma, Shabani Katoto, Hemedi Gaidi na wengine wengi.

Mtaalamu Mkuu wa Madraft Mr Mangwelele atakuwa mmoja wa waratibu.

Tutaendelea kupeana updates za nini kitakachojiri na kama kuna mabadiliko yoyote.
Mkuu muda, muda sahihi wamitanange itakavyoanza tujue..
Muhimu sana,.

Wadau tufike
 
Mashindano makubwa ya Draft Tanzania yanatarajiwa kufanyika Tar 7 July, 2021

Mshindi wa kwanza anatarajiwa kuondoka na kitita cha shilingi 700,000/-.

Yamepangwa kufanyikia Kinondoni Manyanya.

Mafundi wote unaowajua wanatarajiwa kuwepo.

Baadhi ya mafundi wanaotarajiwa kuwepo ni:

Ronaldo (Field Marshall), Noel, Issa (Meno ya Mamba), Nduli, Dogo Sisqo, Dogo Yassin, Simba Dodoma, Shabani Katoto, Hemedi Gaidi na wengine wengi.

Mtaalamu Mkuu wa Madraft Mr Mangwelele atakuwa mmoja wa waratibu.

Tutaendelea kupeana updates za nini kitakachojiri na kama kuna mabadiliko yoyote.
Huyo dogo yassin future is bright..
Balaa linalofuata
Yuko sawa sana.
 
Back
Top Bottom