Mashindano ya Drafti kitaifa

Mashindano ya Drafti kitaifa

Duh,yaani jinsi mchezo wenyewe wachezaji wanavyotumia akili nyingi ili upate ushindi ndio mshindi analipwa laki7?

Si bora nikalime matikiti?
 
JAVA CUP 2021
MAKUNDI

Group A
  1. Nduli Ndulima
  2. Amani Siri aka Mchunguzi
  3. Dogo Janja
  4. Swedi
  5. Dume la Mbegu (Bingwa Morogoro)
  6. Rama Singida
  7. Twaha Dibwe
  8. Dogo Jafari
  9. Dogo Hamisi
  10. Omary Kiwembe
  11. Ayubu Mpemba
  12. Christopher (Tanga)
GROUP B
  1. Issa Mamba
  2. Dogo Sisco
  3. Shabani Katoto
  4. Saiya
  5. Mtalebani
  6. Dogo Athumani
  7. Mboma aka Mkuu wa Majeshi
  8. Mafia (Moshi)
  9. Fyatuka Mahisabati (Songea)
  10. Hancy (Iringa)
  11. James Mapigo aka Intelligence
  12. Msomali ( Arusha )
GROUP C
  1. Ronaldo aka CR7, De Lima, Scientist
  2. Gaidi
  3. Dogo Ally
  4. Rama wa Arusha
  5. Mjomba Shiza
  6. Dogo Shukuru
  7. Mwarabu Spear
  8. Monster (Zanzibar)
  9. Simba Dom
  10. Master Chaula
  11. John Kipaji (aka Computer)
  12. Mansuli

GROUP D
  1. Noeli Namaloe - Bingwa Mtetezi
  2. Masta Mjape
  3. Dogo Yassini
  4. Kwata Mwivi
  5. Mtanga
  6. Ally White
  7. Maldini
  8. Prf Nassoro
  9. Nungwi Jr
  10. Mangi
  11. Saidi Maziwa
  12. Kenny (Mbeya)

Tar 3 September 2021 ndo yanaanza, yatachukua takribani siku 3.
Tulio mikoani, mabingwa wa kwenye hio list hatuwafahamu, ingependeza uicopy list then kila bingwa uweke mkoa anaotoka. Ili tulio mikoani tujue tunawakilishwa na nani
 
Tulio mikoani, mabingwa wa kwenye hio list hatuwafahamu, ingependeza uicopy list then kila bingwa uweke mkoa anaotoka. Ili tulio mikoani tujue tunawakilishwa na nani

Kwa urahisi nikuombe unitajie mkoa uliopo ili nikujulishe mshiriki ni nani na alipatikanaje.

Note: Baadhi ya mikoa haina wawakilishi kwa sababu viwango vya mikoa viko chini.
 
Kwa urahisi nikuombe unitajie mkoa uliopo ili nikujulishe mshiriki ni nani na alipatikanaje.

Note: Baadhi ya mikoa haina wawakilishi kwa sababu viwango vya mikoa viko chini.
Ukiedit mkoa mmoja na kuacha mingine itakua kama ubaguzi, weka mikoa ya washiriki wote 48 walio kwenye hio list
 
Mkuu kesho usitusahau wadau wako wa mtandaoni hapa
 
Washiriki kutoka nje ya Dar kimkoa:-
  1. Moshi - Mafia
  2. Singida - Rama
  3. Zanzibar - Monster na Nungwi Jr
  4. Morogoro - Dume la mbegu
  5. Njombe nafasi moja - Noeli Namaloe
  6. Arusha nafasi - King Ramso na Msomali
  7. Tanga - Mansuli na Christopher
  8. Dodoma - Ronaldo Cr7, Simba Dom na Kwata Mwivi
  9. Iringa - Hancy
  10. Mbeya - Kenny
  11. Songea - Fyatuka Mahisabati
 
Game ya John Kipaji aka Computer dhidi ya Ronaldo inaanza sasa hivi.

Ronaldo mpaka sasa ameshinda dhidi ya Dogo Ali, amedraw na Dogo Shukuru, na pia amedraw na Master Chaula.
 
Game ya John Kipaji aka Computer dhidi ya Ronaldo inaanza sasa hivi.

Ronaldo mpaka sasa ameshinda dhidi ya Dogo Ali, amedraw na Dogo Shukuru, na pia amedraw na Master Chaula.

Mechi imeisha bila kufungana.
 
Mkuu ukipata nafasi tupigie picha bingwa mangwelele na noel, tupia hapa wadau tuwaone mafundi hao. Tunashukuru kwa mrejesho mpaka sasa

Mangwelele hachezi, yuko kwenye jopo la waratibu, kupata picha yake siyo rahisi.
 
Mkuu ukipata nafasi tupigie picha bingwa mangwelele na noel, tupia hapa wadau tuwaone mafundi hao. Tunashukuru kwa mrejesho mpaka sasa
Kweli aisee!!
Kama kuna uwezekano aweke picha za mabingwa wa mikoa mbalimbali, hii itasaidia kuwajengea heshima na kuwafahamu.
 
Back
Top Bottom