BIn khalifa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2019
- 216
- 200
Wakuu mashindano yatafanyika wap kwa hapa Dar…
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu mashindano yatafanyika wap kwa hapa Dar…
Duh,yaani jinsi mchezo wenyewe wachezaji wanavyotumia akili nyingi ili upate ushindi ndio mshindi analipwa laki7?
Si bora nikalime matikiti?
Tulio mikoani, mabingwa wa kwenye hio list hatuwafahamu, ingependeza uicopy list then kila bingwa uweke mkoa anaotoka. Ili tulio mikoani tujue tunawakilishwa na naniJAVA CUP 2021
MAKUNDI
Group A
GROUP B
- Nduli Ndulima
- Amani Siri aka Mchunguzi
- Dogo Janja
- Swedi
- Dume la Mbegu (Bingwa Morogoro)
- Rama Singida
- Twaha Dibwe
- Dogo Jafari
- Dogo Hamisi
- Omary Kiwembe
- Ayubu Mpemba
- Christopher (Tanga)
GROUP C
- Issa Mamba
- Dogo Sisco
- Shabani Katoto
- Saiya
- Mtalebani
- Dogo Athumani
- Mboma aka Mkuu wa Majeshi
- Mafia (Moshi)
- Fyatuka Mahisabati (Songea)
- Hancy (Iringa)
- James Mapigo aka Intelligence
- Msomali ( Arusha )
- Ronaldo aka CR7, De Lima, Scientist
- Gaidi
- Dogo Ally
- Rama wa Arusha
- Mjomba Shiza
- Dogo Shukuru
- Mwarabu Spear
- Monster (Zanzibar)
- Simba Dom
- Master Chaula
- John Kipaji (aka Computer)
- Mansuli
GROUP D
- Noeli Namaloe - Bingwa Mtetezi
- Masta Mjape
- Dogo Yassini
- Kwata Mwivi
- Mtanga
- Ally White
- Maldini
- Prf Nassoro
- Nungwi Jr
- Mangi
- Saidi Maziwa
- Kenny (Mbeya)
Tar 3 September 2021 ndo yanaanza, yatachukua takribani siku 3.
Tulio mikoani, mabingwa wa kwenye hio list hatuwafahamu, ingependeza uicopy list then kila bingwa uweke mkoa anaotoka. Ili tulio mikoani tujue tunawakilishwa na nani
VanilaKwani sasa hivi unalima nini?
Ukiedit mkoa mmoja na kuacha mingine itakua kama ubaguzi, weka mikoa ya washiriki wote 48 walio kwenye hio listKwa urahisi nikuombe unitajie mkoa uliopo ili nikujulishe mshiriki ni nani na alipatikanaje.
Note: Baadhi ya mikoa haina wawakilishi kwa sababu viwango vya mikoa viko chini.
Mkuu kesho usitusahau wadau wako wa mtandaoni hapa
Naona umeandika fyatuka mahisabati katokea songea..uyo mwamba Ni wa dom
Game ya John Kipaji aka Computer dhidi ya Ronaldo inaanza sasa hivi.
Ronaldo mpaka sasa ameshinda dhidi ya Dogo Ali, amedraw na Dogo Shukuru, na pia amedraw na Master Chaula.
Tupe update mkuuMechi imeisha bila kufungana.
Mechi imeisha bila kufungana.
Mkuu ukipata nafasi tupigie picha bingwa mangwelele na noel, tupia hapa wadau tuwaone mafundi hao. Tunashukuru kwa mrejesho mpaka sasa
Tupe update mkuu
Chipawa anasema amekupiga hadi umekimbia playok ama umebadilisha id😀😀
Kweli aisee!!Mkuu ukipata nafasi tupigie picha bingwa mangwelele na noel, tupia hapa wadau tuwaone mafundi hao. Tunashukuru kwa mrejesho mpaka sasa