Mashindano ya Drafti kitaifa

Duh,yaani jinsi mchezo wenyewe wachezaji wanavyotumia akili nyingi ili upate ushindi ndio mshindi analipwa laki7?

Si bora nikalime matikiti?
 
Tulio mikoani, mabingwa wa kwenye hio list hatuwafahamu, ingependeza uicopy list then kila bingwa uweke mkoa anaotoka. Ili tulio mikoani tujue tunawakilishwa na nani
 
Tulio mikoani, mabingwa wa kwenye hio list hatuwafahamu, ingependeza uicopy list then kila bingwa uweke mkoa anaotoka. Ili tulio mikoani tujue tunawakilishwa na nani

Kwa urahisi nikuombe unitajie mkoa uliopo ili nikujulishe mshiriki ni nani na alipatikanaje.

Note: Baadhi ya mikoa haina wawakilishi kwa sababu viwango vya mikoa viko chini.
 
Kwa urahisi nikuombe unitajie mkoa uliopo ili nikujulishe mshiriki ni nani na alipatikanaje.

Note: Baadhi ya mikoa haina wawakilishi kwa sababu viwango vya mikoa viko chini.
Ukiedit mkoa mmoja na kuacha mingine itakua kama ubaguzi, weka mikoa ya washiriki wote 48 walio kwenye hio list
 
Mkuu kesho usitusahau wadau wako wa mtandaoni hapa
 
Washiriki kutoka nje ya Dar kimkoa:-
  1. Moshi - Mafia
  2. Singida - Rama
  3. Zanzibar - Monster na Nungwi Jr
  4. Morogoro - Dume la mbegu
  5. Njombe nafasi moja - Noeli Namaloe
  6. Arusha nafasi - King Ramso na Msomali
  7. Tanga - Mansuli na Christopher
  8. Dodoma - Ronaldo Cr7, Simba Dom na Kwata Mwivi
  9. Iringa - Hancy
  10. Mbeya - Kenny
  11. Songea - Fyatuka Mahisabati
 
Game ya John Kipaji aka Computer dhidi ya Ronaldo inaanza sasa hivi.

Ronaldo mpaka sasa ameshinda dhidi ya Dogo Ali, amedraw na Dogo Shukuru, na pia amedraw na Master Chaula.
 
Game ya John Kipaji aka Computer dhidi ya Ronaldo inaanza sasa hivi.

Ronaldo mpaka sasa ameshinda dhidi ya Dogo Ali, amedraw na Dogo Shukuru, na pia amedraw na Master Chaula.

Mechi imeisha bila kufungana.
 
Mkuu ukipata nafasi tupigie picha bingwa mangwelele na noel, tupia hapa wadau tuwaone mafundi hao. Tunashukuru kwa mrejesho mpaka sasa

Mangwelele hachezi, yuko kwenye jopo la waratibu, kupata picha yake siyo rahisi.
 
Mkuu ukipata nafasi tupigie picha bingwa mangwelele na noel, tupia hapa wadau tuwaone mafundi hao. Tunashukuru kwa mrejesho mpaka sasa
Kweli aisee!!
Kama kuna uwezekano aweke picha za mabingwa wa mikoa mbalimbali, hii itasaidia kuwajengea heshima na kuwafahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…