Yap yap watu wachukue hii ni fursa aisee [emoji115][emoji115][emoji115]Saahizi wametoa tozo ya Youtube. Nibure kuimiliki. So mtu anatakiwa tu kuwa na kamera au simu nzuri ya kurekodi. Ukiweka mechi za mabingwa utapata tu views. Nimeona baadhi ya wadau wanafundisha mule wanapatq views elfu kadhaa.
Nipe ratiba mkuu kesho natamani kuja kuwacheki.Robo Fainali:
Issa Mamba vs Kwata Mwivi
Noel vs Ronaldo
Nduli vs Omary Kiwembe
Mjape vs Simba
Nipe ratiba mkuu kesho natamani kuja kuwacheki.
Mda gani wanaumana.
Noel atamtoa Ronaldo, na anabeba ndoo[emoji1363] nimebet
Noel ameshinda 2 - 1
Beti yangu ndo tayari hivyo, mkeka ushatiki… hao waliobaki kwa noeli ni mabua ya mahindi
Jitahidi basi mkuu hata fainali uwapige picha hapo wakiwa wanacheza
Nitatuma picha ya watakao ingia fainali, wakiwa wamekaa mezani wakijiandaa kukiwasha.
Mwaka huu nimepitwa ila Ahsante San mtoa updates vipi nusu fainali Nani n Nani wanakutan?
Mwaka jana nilipitwa halafu aliyekuwa anatoa updates alikuwa anazingua.
Nikasema mwaka huu nitahudhuria na nitoe updates.
Draw ya Nusu Fainal ni kesho asubuhi.
Ebhana ee!!Nduli 1 - Noel 0
Issa 2 - Simba 0.
Fainali ni kati ya Issa Mamba na Nduli.
Duh! Mkeka wangu ushechanika, Simba katoka!Nduli 1 - Noel 0
Issa 2 - Simba 0.
Fainali ni kati ya Issa Mamba na Nduli.
Nduli amekaza sana.Nduli 1 - Noel 0
Issa 2 - Simba 0.
Fainali ni kati ya Issa Mamba na Nduli.