Mashindano ya Drafti kitaifa

Mashindano ya Drafti kitaifa

Saahizi wametoa tozo ya Youtube. Nibure kuimiliki. So mtu anatakiwa tu kuwa na kamera au simu nzuri ya kurekodi. Ukiweka mechi za mabingwa utapata tu views. Nimeona baadhi ya wadau wanafundisha mule wanapatq views elfu kadhaa.
Yap yap watu wachukue hii ni fursa aisee [emoji115][emoji115][emoji115]
 
Noel ameshinda 2 - 1

Beti yangu ndo tayari hivyo, mkeka ushatiki… hao waliobaki kwa noeli ni mabua ya mahindi

Jitahidi basi mkuu hata fainali uwapige picha hapo wakiwa wanacheza
 
Mwaka huu nimepitwa ila Ahsante San mtoa updates vipi nusu fainali Nani n Nani wanakutan?
 
Mwaka huu nimepitwa ila Ahsante San mtoa updates vipi nusu fainali Nani n Nani wanakutan?

Mwaka jana nilipitwa halafu aliyekuwa anatoa updates alikuwa anazingua.

Nikasema mwaka huu nitahudhuria na nitoe updates.

Draw ya Nusu Fainal ni kesho asubuhi.
 
Huyu Noel ni hatari kwelikweli, mwaka jana kachukua yeye, na mwaka huu inaonekana atachukua yeye. Wengi walimpa nafasi kubwa Ronaldo kwa sababu ya jina kubwa
 
Big 4

IMG-20210905-WA0012.jpg


Kutoka kushoto ni Issa Mamba, Simba Dom, Nduli na Noel.
 
Back
Top Bottom