Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Wangejenga chuo kikuu na Hospitali ya Rufaa badala ya kuleta maigizo yasiyokuwa na faida kwa jamii iliyo Pana.Alhikma Foundation wanajitahidi sana Mashaalah.
Wanajenga Hospitali na wamejenga Shule zote zipo Temeke.Wangejenga chuo kikuu na Hospitali ya Rufaa badala ya kuleta maigizo yasiyokuwa na faida kwa jamii iliyo Pana.
Kwa sababu Qur'an ipo vifuani mwao na haitoki, Ile pesa ni incentive TuKwa nini washindi wasipewe Quran waka wachana na kuwapatia pesa
Kwa sababu Qur'an ipo vifuani mwao na haitoki, Ile pesa ni incentive Tu
Taja Hospitali hata moja ya Rufaa yenye hadhi Kama Bugando u KCMC,au chuo kikuu chenye hadhi sawa na Tumaini au SAUTI.Wanajenga Hospitali na wamejenga Shule zote zipo Temeke.
Mashindano ya Qurani tukufu wakati wa mfungo wa Ramadhani ni chakula ya roho.
Punguza Chuki kijana.
Soma vizuri nilichoandika acha mihemuko kijana.Taja Hospitali hata moja ya Rufaa yenye hadhi Kama Bugando u KCMC,au chuo kikuu chenye hadhi sawa na Tumaini au SAUTI.
Seriously jamani, hivi hii inasaidia nini watu?Mashindayo ya Quran ya kitaifa na kimataifa yanatarajia kuanza Aprili kumi ya mwaka katika viwanja vitatu tofauti Mkapa, Mnazi mmoja pamoja na Diamond Jubilee.
Mashindano hayo ambayo hufanyika kila mwaka na kushirikisha watu kutoka maeneo mbalimbali ya ndani ya nchi na nje ya nchi yameandaliwa na taasisi tatu tofauti ikiwemo ya Al hekma huku washindi wakitarajiwa kupata zawadi na fedha taslimu ambazo zimepangwa kwa kipindi hicho.
Quran ni ShufaaSeriously jamani, hivi hii inasaidia nini watu? Unakariri kitu kisicho na faida maishani mwako ili iweje?
Mungu yuko na wale wenye upendo.Safi sana. Nawapenda sana Waislamu.
Ina faida gani kwa mtu maishani?Quran ni Shufaa
bro hata shule watu wanakariri hamna ubunifu tatizo ya tabia za kijinga kama wewe kupenda kufuatilia vitu havikuhusu si uwaacheSeriously jamani, hivi hii inasaidia nini watu?
Unakariri kitu kisicho na faida maishani mwako ili iweje?
chuki unazofundishwa kanisaniIna faida gani kwa mtu maishani?
Unakariri mwisho wa siku unafuga tu majini ili iweje?
Majini yanafaida nyingi Majini yanavutia biasharaUnakariri mwisho wa siku unafuga