Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuja watu bila shaka ni wa kuwait kutaka kuomba kujenga chuo kikuu cha kiislam ambacho ndicho kingekua cha pili baada ya mlimani alichofanya mtakatifu wa Butiama aliwakatalia kata kata Idd amin akawaambia wakajenge huko Uganda....Taja Hospitali hata moja ya Rufaa yenye hadhi Kama Bugando u KCMC,au chuo kikuu chenye hadhi sawa na Tumaini au SAUTI.
Mara nyingi wanaotumia hili neno seriously? ni mademu hayo maneno waachie wifi zako mkuuSeriously jamani, hivi hii inasaidia nini watu?
Unakariri kitu kisicho na faida maishani mwako ili iweje?
hajui ebu mpe kidogo na jamaa ndo alidimiza waislamu enzi zile kuua miji ya kiislamu ambayo ilikuwa ishaendelea hajui pia mfumo wa namba kweny mitihani uliletwa sababu ya jamaa kubagua waislamuWalikuja watu bila shaka ni wa kuwait kutaka kuomba kujenga chuo kikuu cha kiislam ambacho ndicho kingekua cha pili baada ya mlimani alichofanya mtakatifu wa Butiama aliwakatalia kata kata Idd amin akawaambia wakajenge huko Uganda....
Mambo ni mengi bwamdogo
Hata hii hapa ya kwetu mkuuTaja Hospitali hata moja ya Rufaa yenye hadhi Kama Bugando u KCMC,au chuo kikuu chenye hadhi sawa na Tumaini au SAUTI.
Wacha wapewe fedha na magari na tuzo mbalimbali ni juu yao.Kwa nini walipwa pesa wakati Quran ingekua bora zaidi ili waendelee kutangaza na kwa wengine.
Vifuani kuna mapafu hakuna utambuzi/akili
🤣🤣Aliyeshushiwa alikuwa mtume jamii ya kiarabu na walikuja kuandika kwa kukusanya aya na sura zote walikuwa waarabu ndo maan wewe mpaka leo physiscs unasoma kingereza sio kiswahili labda utafsiri tu kwa kupenda
kwa akili izo lazima ufeli shule
Nani kakupa jukumu la kuwasemea watu wote duniani?!!!Seriously jamani, hivi hii inasaidia nini watu?
Unakariri kitu kisicho na faida maishani mwako ili iweje?
At lease mtu unatoka shuleni unakuwa na kitu cha faida maishani na hatimaye unapata kazi......Kukariri juzuu inakupa kazi gani zaidi ya kufuga majini na kutesa wenzako?bro hata shule watu wanakariri hamna ubunifu tatizo ya tabia za kijinga kama wewe kupenda kufuatilia vitu havikuhusu si uwaache
Si chuki za kufundishwa, mi sina chuki ila nafikiri nje ya box....sikariri vitu bila kufikiri ndiyo maana nauliza.chuki unazofundishwa kanisani
Ndivyo anavyotaka Mungu hivi?Majini yanafaida nyingi Majini yanavutia biashara
Majini ni muhimu sana kwa shughuli za kila siku.
Nadhani matokeo huwa ni tabia binafsi ya mtu,Seriously jamani, hivi hii inasaidia nini watu?
Unakariri kitu kisicho na faida maishani mwako ili iweje?
Ndio maana yameumbwa.Ndivyo anavyotaka Mungu hivi?
Kwa hiyo Mungu ameafiki mwanadamu kutengeneza majini na kuwatukimisha kupitia kitabu cha Quran?Ndio maana yameumbwa.
Usikute haya maneno -"chutama nikupelekee moto kwa mpalange" ni maneno aliyokuwa anaambiwa na mwalimu wake wa madrasat maana wale wanajulikana kwa kubaka wanafunzi wao kama mapadri tu.Nadhani matokeo huwa ni tabia binafsi ya mtu,
Ona mtu kama Lavalava alikariri sana hizo ila leo anaimba "chutama nikupelekee moto kwa mpalange"
Kazi ya Mungu haina makosa.mwanadamu kutengeneza majin
kama akili ndo izo bora usifikirieSi chuki za kufundishwa, mi sina chuki ila nafikiri nje ya box....sikariri vitu bila kufikiri ndiyo maana nauliza.
huna akili wewe ujatembea kazi ya mavi na wasiopata means elimu haina faidi unajiita mbishi huoni kama una matatizo ya akiliAt lease mtu unatoka shuleni unakuwa na kitu cha faida maishani na hatimaye unapata kazi......Kukariri juzuu inakupa kazi gani zaidi ya kufuga majini na kutesa wenzako?