Mashindano ya kuhifadhi Quran kuanza Aprili 10

Taja Hospitali hata moja ya Rufaa yenye hadhi Kama Bugando u KCMC,au chuo kikuu chenye hadhi sawa na Tumaini au SAUTI.

bugando wajengaji ni waisrael kwa msaada kutoka ujerumani kwa serikali ya tanzania. ilikuwa ni ya serikali mkatoliki nyerere akawapa bure kanisa. huu ni uonevu wa hali ya juu, wakati bugando inajengwa mimi ninaiona na nimetibiwa sana hapo maana nimezaliwa mwanza na ni kwetu. kulijengwa kanisa ndogo na msikiti mdogo ndani ya hospital ili wanaokuja kuona wagonjwa wao wapate nafasi ya kuabudu hapo baada ya kupewa wakatoliki msikiti uliondolewa na kufwanywa sehemu ya stoo. ila kanisa lipo mpaka leo
 
Nadhani matokeo huwa ni tabia binafsi ya mtu,
Ona mtu kama Lavalava alikariri sana hizo ila leo anaimba "chutama nikupelekee moto kwa mpalange"

hiyo sio sababu ni tabia ya mtu kubadilika.wala usione ajabu muislamu kula nguruwe ni mtu mwenyewe kupenda kumuasi mungu mbona kuna maaskofu na wachungaji walibadili dini na kuingia uislamu na hao utawasemaje?
 
waislamu habari nyingine ni dini kubwa. na kila siku inazidi kuwa juu. mfano mdogo ona mwezi wa ramadhani unapoingia tanzania nzima inatulia tuli. watu wanakuwa na heshima msosi barabarani ni shida kupata ,mabaa hakuna watu ,misikiti inafurika watu ,kina dada wanakuwa na heshima ,matusi hakuna hata kwenye daladala. ujue waislamu ni wengi tanzania.na bado kuna waislamu wengine wengi tu hawafungi ila wanaheshimu dini yao. siku na wao wakijua wanafanya makosa tutakuwa tunasali mpaka barabarani. jiulize hivi waislamu wanaoheshimu mwezi wa ramadhani tu hao hao wakiamua warudi kwa mungu wao basi mwaka mzima nchi itakuwa kama ipo kwenye ramadhani. hapo ndipo dini nyingine wataona haya
 
Ndiyo nimesema matokeo ya chochote ni tabia binafsi ya mtu.
 
jiulizeni nyinyi wagalatia kwa nini kwenye sensa ya kuhesabu watu serikali haitaki kuandikisha dini ya mtu kwa nini? JIBU ni hii KUTAONEKANA WAISLAMU WENGI SANA TANZANIA 80%
 
waislamu habari nyingine ni dini kubwa. na kila siku inazidi kuwa juu. mfano mdogo ona mwezi wa ramadhani unapoingia tanzania nzima inatulia tuli. watu wanakuwa na heshima msosi barabarani ni shida kupata ,mabaa hakuna watu ,misikiti inafurika watu ,kina dada wanakuwa na heshima ,matusi hakuna hata kwenye daladala. ujue waislamu ni wengi tanzania.na bado kuna waislamu wengine wengi tu hawafungi ila wanaheshimu dini yao. siku na wao wakijua wanafanya makosa tutakuwa tunasali mpaka barabarani. jiulize hivi waislamu wanaoheshimu mwezi wa ramadhani tu hao hao wakiamua warudi kwa mungu wao basi mwaka mzima nchi itakuwa kama ipo kwenye ramadhani. hapo ndipo dini nyingine wataona haya
Hii research yako ya mchongo uliifanya lini ?
 
Jf waislam wanakashifiwa sana kuliko dini yeyote wao hawaanzishi uzi kuhusu wakristo ila wakristo kila siku wanaanzisha uzi kuhusu waislam, ukianza kwaresma panakua kimya ila ikianza ramadhan zinaanzishwa uzi za chuki
 
Mods wanatakiwa wawe makini.
 
huna akili wewe ujatembea kazi ya mavi na wasiopata means elimu haina faidi unajiita mbishi huoni kama una matatizo ya akili
Matatizo ya akili kwa kusema ukweli, sasa nani mwehu hapa kati ya mimi na wewe usiyejitambua? Vijana wa Kiislam wengi wako illiterate na ndiyo maana wanachezewa akili kama matoi (toys) au watoto.
 
Mwambie aliyekuzaa mbwa wewe kafiri mkubwa unachoandika unaona Cha maana mnavykariri mistari aliyaondikwa na waitaly kweny bible mnapata NN kama sio ushoga

Nyie ndo illiterate wakubwa mambwa ona mnavyochezewa na mabanii wa uongo kaka wewe ilivyokuwa shoga
 
Kwa nini walipwa pesa wakati Quran ingekua bora zaidi ili waendelee kutangaza na kwa wengine.

Vifuani kuna mapafu hakuna utambuzi/akili
Timu ya Simba sc kuingia robo fainali wamepewa dollars 350,000 kwann wasipewe jezi, au mipira ya kuchezea tu. Idiot
 
Maana wao wamewekeza kwenye mpira kupata pesa. Quran ni uwekezaji kupata neema za Mungu
 
Back
Top Bottom