Mashindano ya kumtafuta bingwa wa draft Tanzania 2022

EXCLUSIVE



Timu: Saiya Vs Mtanga ( Confirmed )




Mdhamini : Mzee Java ( Raisi wa wakongwe wa madanali )




Zawadi: 80,000/= ( Winner 70k na looser 10k )




Lini: Jumapili, tarehe 10 July 2022 Saa Nane kamili Mchana




Uwanja:Kitunda Stadium




Michezo: 24-Omary John + Tege 10 za mzee Ngapu



Mratibu: Masta Mtemi ( 5000)




Photograper: Masta Mtemi( 5000 )




Kamisaa: Riro (5000)




Note: Hakutakuwa na mshindi wa pili ila tutakuwa na nauli ya Shilingi elf 10 kwa atakaefungwa



Hii inaitwa mama Mkanye Mwanao Fundi Saiya anakwenda kukutana na Mtanga Uso kwa uso kama Semi trailer na kichwa cha treni Njoo mjini kitunda Stadium
 
Noel Jana kafa 4-1 kwa kiwembe bhana
 
Huyo noel kuna mechi walikutana na ronaldo, noel akashinda goli 2-1 halafu mechi ya marudiano noel akaja kupasuka goli 2-0

Sasa bingwa huyo kusikia taarifa kapotea goli 4 ni habari ya kusikitisha sana
Kuna vichwa hatari Sana hasa huyo Kiwembe na Cisco, Noel alikuwa anaongoza 1, Kuna muda akapigwa 3 za fasta .

Jana Sisco alikuwa anafatilia Miguu ya Kiwembe ,

Hii mech ndio inangojewa ,ila Uzuri kina mangwelele wameipanga wakutane kwenye makundi

Hivo wanaweza kukutana pia fainal


Kuna Nduli huyu naye ana balaa ,
 
KWA WALE WA MBEYA KAMA KUNA FUNDI WA DRAFT UNAJIAMINI AU UNAMUAMINI ,AJITOKEZE ,HATUTAKI MALALAMIKO,, LETEN FUNDI MNAYEMUAMINI ,MSITULETEE MATURA


Washiriki watakoa shiriki kuwatafuta wawakilishi wa wa mkoa wa mbeya
- maeneo yatakayo toa washiriki
1. Ilomba
2. Mbalizi
3. Sokomatola
4. Kabwe & songwe

- ilomba
1. Kenny mabao
2. Hance
3. Kiduku
4. Ticha kibegi
5. Mwasapile
6. Raisi wa ilomba

- mbalizi
1. Gabby
2. Dany
3. ............
- Sokomatola
1. Pascal
2. Kelvin
3. Steve nkeka
4. Amasebo
5. Ticha ngao
6. Iddy

- kabwe & songwe
1. Farid
2. Wille mtafiti
3. Amigo
4. Mlangi
5. Fadhiri
6. Peter salu
Kama kuna mchezaji mzuri tumemuacha na anahitaji kukiwasha awasiliane na wahusika
 
Mfumo wetu wa ligi utakuwa kama ifuatavyo
1. Ligi itakuwa ya makundi kwa maana yatakuwepo makundi ma nne kila kundi litakuwa na wachezaji wasio punguwa watano
2. Kila kundi litatoa wachezaji wa wili jumla watakuwa 8 wataenda moja kwa moja kwenye robo
3. Aina ya michezo itakayo chezwa
  • kwenye makundi itakuwa miwili mmoja wa nyumbani mmoja wa ugenini
  • kuanzia hatua ya robo mpaka fainali itapigwa oj14
5. Ligi haitakuwa na kiingilio imedhaminiwa na Eng kitova
4. Zawadi zitakuwa kama ifuatavyo
  • mshindi 1 -50000/=
  • mshindi 2 -30000/=
  • mshindi 3 - 20000/=
5. Uamtaratibu wakwenda kwenye mashindano utakuwa kama ifuatavyo
  • mshindi wa kwanza atagharamiwa na kamati ya mashindano
  • mshindi wa pili atagharamiwa kila kitu na mdhami wa mbeya Eng kitova. +255 652 572 142

Washiriki watakoa shiriki kuwatafuta wawakilishi wa wa mkoa wa mbeya
- maeneo yatakayo toa washiriki
1. Ilomba
2. Mbalizi
3. Sokomatola
4. Kabwe & songwe

- ilomba
1. Kenny mabao
2. Hance
3. Kiduku
4. Ticha kibegi
5. Mwasapile
6. Raisi wa ilomba

- mbalizi
1. Gabby
2. Dany
3. ............
- Sokomatola
1. Pascal
2. Kelvin
3. Steve nkeka
4. Amasebo
5. Ticha ngao
6. Iddy

- kabwe & songwe
1. Farid
2. Wille mtafiti
3. Amigo
4. Mlangi
5. Fadhiri
6. Peter salu
Kama kuna mchezaji mzuri tumemuacha na anahitaji kukiwasha tuwasiliane
 
Mkuu umeongea kiuzoefu kucheza najua ila sifahamu kama ndo tenge daah umetisha
 
Huyo noel kuna mechi walikutana na ronaldo, noel akashinda goli 2-1 halafu mechi ya marudiano noel akaja kupasuka goli 2-0

Sasa bingwa huyo kusikia taarifa kapotea goli 4 ni habari ya kusikitisha sana
Ronaldo anamcheka Sana Noel leo

Noel Ni mwanafunz wa Ronaldo ,
 
Asee lile goli la pili liliwauma sana watu..na pale ndo noeli akaanza kupotea ila kiwembe tunampongeza kumfunga jitu kama lile pia apunguze kucheza izi man 2 man watu Wanawachora sana kwann,cr7 haji sana manyanya?? Kama uliona Jana usiku Sisco alivyokua akicheza kitu kitu alikua anajihami sana kwamba zile copy ni legelege watu wasizichukue..I bet noel akija dar wiki Moja kabla ya mashindano ajiweke fit atafanya makubwa mno
 
Hance amekua mkubwa sikuizi nasikia nlikua course Moja nae chuo uyu bwana mdgo nkamuacha,,anapenda sana madanali, ila ni muoga sana ata akipita sizani kama atakuja last time alipita kwao iringa ila hakuja dar..
Khamis wa MUST,god vp cjawaona apo
 
Hance amekua mkubwa sikuizi nasikia nlikua course Moja nae chuo uyu bwana mdgo nkamuacha,,anapenda sana madanali, ila ni muoga sana ata akipita sizani kama atakuja last time alipita kwao iringa ila hakuja dar..
Khamis wa MUST,god vp cjawaona apo
Mkuu mwaka gani wewe MUST pale..

Maana kama umetaja jina langu ila sina uhakika ni mimi au mwingine..

Nilikuaga kipindi flani nachuana sana na bonge (kipindi icho ndo bingwa wa mbeya mstaafu, tulikua nae MUST pale),.

Saivi sichezi sana, mambo yamekua mengi..

Hua napasha na kwatamwivi wa dom baadhi ya siku ananizuilisha sare 3...

All and all kiwango kipo kipo, matula hawawezi nisumbua [emoji23]
 
Hatujaelewana...

Malalaamiko au ushauri wangu ni hivi.

Yaaani yanga simba prison zicheze kwa utaratibu wao wanavyojua wao mwishoni waje tu wakutane final.?

Kwa nin wao wasianze kufatilia huko kwenye club za mikoani, kuhimiza, kushauri kufundisha sheria, kuwezesha n.k ili kuandaaa watu wataokutana katika final kufanya vitu ambavyo vimeshaelekezwa.

Sio unakaa watu wapambane wanaojua wao we unataka waje wachuane kutafuta bingwa mwisho wa siku anakuja mtu hajui sheria, hajui utaratibu ye anachojua ni calculation tu....


Waaanzie huko mikoani kutengeneza watu wanaowataka now waje dar kuchuana ili kukuz mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nlikua pale 2020 asee kama ww ni mmoja nliemtaja apo Si mlikua mnacheza apo Kwa chidy kinyozi.."BIG LIE" hamisi alikua bingwa ila hance alikuja juu Zaid..ila Kwa hance alivyokua anapenda madanali nlikua namfananisha na juma mchafu mda wote madanali tuuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…