Mashindano ya Mvuto wa Sura Mbaya na Mwonekano wake

nahisi kama nitaomba urafiki kwa mshindi wa kwanza ivi
Nsaha kukubali, unaonaje urafiki huu uwe na kasi ya mabadiliko kama kasi ya mwanga?
Kila baada ya wiki unabadilika status, wiki hii urafiki, wiki ijayo uchumba, wiki ile nyingine ndoa, halafu wiki ya nne talaka?
 
mi mtawa
urafiki wetu utakua wa kimaombezi zaidi
Nsaha kukubali, unaonaje urafiki huu uwe na kasi ya mabadiliko kama kasi ya mwanga?
Kila baada ya wiki unabadilika status, wiki hii urafiki, wiki ijayo uchumba, wiki ile nyingine ndoa, halafu wiki ya nne talaka?
 
mimi bonge la bwanaaaa handsome jf nzima,kama hutaki sikulazimishi potezea....:help:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…