ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
- #241
basi jipigie makofi tafadhali kwa kuelewa somo hapo juu
Sina lingine la kusema nasubiri matokeo.

nashukuru mwayego kwa kunipigia kura ya kula hakika mie ndiye mr sura mbaya wa chit chat
tuko kwenye kuhesabu kura na tunakesha usiku huu kwani kura ni nyiingi mno
niko na majaji LiverpoolFC, Passion Lady na ladyfurahia tunaomba msutusumbue
nyie ombeni kura mpaka hapo kesho asubuhi ndo mwisho wa zoezi hili na tunamtangaza mshindi
hapa hapa jukwaani una lingine la kusema
basi jipigie makofi tafadhali kwa kuelewa somo hapo juu
mbona mi sijawekwa au mimi handsamu boi...kuna rastermzuri kweli let me in banaHabari zenu marafiki na wapendwa
SHINDANO LA KUMSAKA MTU MWENYE MVUTO
WA SURA MBAYA WA CC - 2013
Naomba msinikazie macho wala kunipa ban kwaajili ya shindano hili
sikutaka nilete shindano hili bali kuna watu/ washiriki waliomba niandae
shindano la kumsaka mtu mwenye MVUTO wa sura mbaya mjengoni humu.
Nami bila ajizi najitokeza tena upya kwenu kuleta mashindano haya, huku
nikishirikiana na majaji wangu LiverpoolFC na Ruttashobolwa na
Chief Judge atakuwa Passion Lady tutakuwa katika mchakato mzima
wa kumtafuta yule atakayezidi washiriki wenzake kwenye kura za ndio
ambazo atazipata toka kwa watazamaji, na kisha kuwaondoa ambao
watapoteza MVUTO kwa watazamaji wetu. Karibuni sana kwenye
kinyang'anyiro cha kumpata yule aliye bora zaidi ya wenzake:
1: ANGALIA PICHA ZA WASHIRIKI WALIO NA
MWONEKANO WA KIKAWAIDA
Wapigie kura yako ili apatikane yule unayempenda wewe awe kinara wa
Mvuto wa sura mbaya wa CC - 2013,
Waliopendekezwa na kuingia kambini ni hawa wafuatao:
Manshaal wamejaaliwa hawa hebu ona
ILA MVUTO UNAHITAJIKA
View attachment 113804 View attachment 113805 View attachment 113806 View attachment 113807
genekai Mr Rocky Erickb52 nyabhingi
View attachment 113808 View attachment 113809 View attachment 113810 View attachment 113811 View attachment 113812 The Boss Sokwe Mjanja Finest Mungi sokwe
View attachment 113813 View attachment 113814 View attachment 113816 View attachment 113817
EMT jouneGwalu Tutor B Kipaji Halisi
2. Washiriki walionekana mwonekano wa kiajabu ajabu sana
nao walipendekezwa kuingia kambini kujifua na wenzao
kusaka hilo TAJI LA MVUTO nao ni:
View attachment 113818 View attachment 113819 View attachment 113820 View attachment 113821 View attachment 113822 Invisible Mfamaji Gamaha Dark City PakaJimmy
View attachment 113823 View attachment 113824 View attachment 113825 View attachment 113828 sosoliso TIQO GAZETI Katavi
View attachment 113829
@Grafani 11
WASHIRIKI WENYE MVUTO WA SURA MBAYA KWA MWAKA 2013 WANAKUJA KWENYE UKURASA UNAOFUATA
HEBU WACHEKI HAPA;
T
We handsome kabisa.mbona mi sijawekwa au mimi handsamu boi...kuna rastermzuri kweli let me in bana
mbona mi sijawekwa au mimi handsamu boi...kuna rastermzuri kweli let me in bana

Hongera..SHINDANO LA KUMSAKA MTU MWENYE MVUTO
WA SURA MBAYA WA CC - 2013
HAYA NDO MATOKEO YA MTU MWENYE MVUTO WA SURA MBAYA CC 2013
Tumekaa na majaji wenzangu tukihesabu kura kwa siku 5 na leo tunamtangaza mshindi bora wa
mwaka 2013 aliyejipatia kura nyingi katika kura 70,770 yeye aliweza kuipata kura 50,481
Tunaanzia kwa yule aliyeshika nafasi ya 3 bora ambaye ni:
Slave
Sifa za Mshiriki no 3
Alikuwa mtu ambaye anapenda kujituma, kujifunza na mwingi wa ucheshi
ila kwa upande mwingine alikuwa mbabe sana, na hii tabia ndio iliyomfanya
asipate kura nyingi kutoka kwa washiriki maana kuna wakati mwingine a
alithubutu kufanya kitu pasipo majaji na watazamaji kupenda.
Amepata kura 39,641 kati ya kura 70,770 tutampa ticket ya ndege FASTJET
kwenda kutalii Ngorongoro kwa wiki nzima, na kisha kumpumzika
ZANZIBAR kwa 2 days.
ZAWADI YAKE NI HII HAPA:
View attachment 115191
MSHIRIKI ALIYECHUKUA NAFASI YA PILI NI Katavi
SIFA ZA MSHIRIKI NO. 2
Mshiriki no2 yeye ni mchapakazi, na mtu mwenye heshima,
aliyejaa staha kwa washiriki wenzake alipokuwa kambini
aliweza kumudu majanga mbalimbali yaliyomtokea pindi
alipokuwa kambini, ni mcheshi na mwenye kushangaa sana,
(sijui katoka upcountry) maana ........mhm!, Ni mtu anayependa
kusikiliza viongozi wake na anachukua hatua ya kile alichojifunza.
Amepata kura 45,888 kati ya kura 70,770 tutampa ticket ya ndege FASTJET
kwenda kutalii mbuga za wanyama Ngorongoro kwa wiki nzima, na kisha
kumpumzika ZANZIBAR kwa 2 days.
ZAWADI YAKE NI HII HAPA CHINI:
View attachment 115193
Na MSHINDI wetu Ni...............................
WOW!
ALIYEJINYAKULIA USHINDI WA MTU MWENYE MVUTO
WA SURA MBAYA HAPA CC 2013 NI ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Niiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Bujibuji
Piga makofi tafadhaliiii
SIFA ZA MSHIRIKI
Mshiriki huyu alipenda kujifunza mambomengi aliyokuwa
akifundishwa na waalimu wake, alikuwa msikivu na mtii,
alikuwa mtu mwenye ucheshi mwingi sana na wakati mwingine
alipenda kuwatania hata majaji, kuhusu msosi kwake haikuwa shida
hata kama mmepika mlenda kwa uji yeye anapeleka tu mdomoni
ni mtu mwenye matukio mema mengi, anapenda kuchora katuni za
viiongozi hata sie majaji ametuchora tumependelea sana kazi yake
ya uchoraji, mtu anayependa kuigiza, kusoma na kushangaa sana.
Amepata kura 65,879 kati ya kura 70,770 tutampa ticket ya ndege FASTJET

Amepata ZAWADI hizi zifuatazo:
View attachment 115194
na tumemzawadia zawadi hii bado haijaisha kujengwa ikiimalizika
tutampa na funguo za nyumba hii ili aweze kujimudu na familia yake
View attachment 115195
ONYO NA UFUNGAJI
Shindano sasa limefungwa rasmi na majaji LiverpoolFC, Passion Lady, na mm mratibu wenu
hivyo hakuna pingamizi lolote ambalo litafanywa na washiriki yeyote kwani tuliangalia VIGEZO NA
MASHARTI vimezingatiwa juu ya shindano hili na tulifuata kanuni zote za ushindi katika ibara 54
kifungu cha 5.
Endapo mshiriki yeyote yule atapinga matokeo haya basi itamlazimu kulipa faini kwani tumesha
peleka ombi hili shaurini pale CC . Maktaba kuu.
CC: Heaven on earth, Mtambuzi, sweetlady, mwaJ, Mwita Maranya, watu8, Filipo, Lady doctor,
gfsonwin, figganigga, Erickb52, Mr Rocky, Paloma, The secretary, amu, Ruttashobolwa na wengine wengi
THE END

Haya haya ngoja nifanye hivyo aise Paloma, snowhite, HorsePower, SnowBall The Finest, AshaDii, gfsonwin, Preta, Blaki Womani, kiwatengu, Jiwe Linaloishi, sosoliso, Filipo, marejesho, Mamndenyi, Dena Amsi, EMT, BAK, amu, Chocs, kipipi, Ngalikihinja, Ruttashobolwa, Rutashubanyuma, Madame B, Zion Daughter, Heaven on earth, Blaine, Elli, Mwita Maranya, Bujibuji mwaJ, Teamo, naomba kura zenu
halafu lady furahia naomba
umtangaze mshindi tafadhali
mi sitoweza waaalah naweza angua kilio
coz washiriki wote walistahili!!
Haya haya ngoja nifanye hivyo aise Paloma, snowhite, HorsePower, SnowBall The Finest, AshaDii, gfsonwin, Preta, Blaki Womani, kiwatengu, Jiwe Linaloishi, sosoliso, Filipo, marejesho, Mamndenyi, Dena Amsi, EMT, BAK, amu, Chocs, kipipi, Ngalikihinja, Ruttashobolwa, Rutashubanyuma, Madame B, Zion Daughter, Heaven on earth, Blaine, Elli, Mwita Maranya, Bujibuji mwaJ, Teamo, naomba kura zenu
Hongera nawe.poleni kwa kazi ngumu ya kusimamia shindano kwa usawa na haki ladyfurahia na majaji woote akiwepo Passion Lady na ruta, pia hongera :A S 41::A S 41: Bujibuji :A S 41: Katavi na hata mie najipa hongera, kazi ilikuwa pevu changamoto nyingi sana tumepata,:clap2::clap2:
one love kwa wote..:bange: