Mashindano ya Mvuto wa Sura Mbaya na Mwonekano wake

unamention mshiriki aliyeko kwenye kinyang'anyiro hicho hapo juu kisha kura yako inaingia kwenye hesabu zake toka kwa majaji kwani majaji wako masaa 24 kucheki kila kura inayoingia hapa, hivyo ujachelewa mpigie mmojawapo kati ya wale 10top walioorodheshwa mwanzo check katika file type
Jinsi ya kupiga kula inakuwaje:-
 
WASHIRIKI WALIOPITA KUWA 5TOP BORA WA SHINDANO LA KUMSAKA
MTU MWENYE MVUTO WA SURA MBAYA WA CC 2013

Wafuatao ndio waliopita katika kinyang'anyiro cha kumsaka mshiriki bora na
mwenye mvuto wa sura mbaya cc 2013
Slave zumbemkuu Bujibuji TIQO Katavi

endelea kumpigia kura yule umpendaye katika list hiyo
ila shindano hili limejaa majanga sana kwani sijui kama
tutafanikiwa kulimaza vizuri kama sio kubondwa majaji
 
Last edited by a moderator:

Swali la kizushi Jaji mkuu ladyfurahia.. Haya ni mashindano ya wenye sura mbaya.. Huyu TIQO yeye avatar yake haijaonyesha sura bali nanihii.. Inaruhusiwa kweli hii..?
 
Last edited by a moderator:
WASHIRIKI WALIOPITA KUWA 5TOP BORA WA SHINDANO LA KUMSAKA
MTU MWENYE MVUTO WA SURA MBAYA WA CC 2013

Wafuatao ndio waliopita katika kinyang'anyiro cha kumsaka mshiriki bora na
mwenye mvuto wa sura mbaya cc 2013
Slave zumbemkuu Bujibuji TIQO Katavi

endelea kumpigia kura yule umpendaye katika list hiyo
ila shindano hili limejaa majanga sana kwani sijui kama
tutafanikiwa kulimaza vizuri kama sio kubondwa majaji

eti unasema mimi ni......rudia tena sijakupata vizuri,,,,,,
 
Back
Top Bottom