Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
​hahahaaa!!naona sana akuuu binamu sirubuniki mie!!Binamu Passion Lady hebu fanya kama huoni vile
​hahahaaa!!naona sana akuuu binamu sirubuniki mie!!Binamu Passion Lady hebu fanya kama huoni vile
​utanipiga faini eeeeh!!Nikukukamata...........!!!!!!!!!!!!!
huyu mshiriki majangakuhusu zawadi tunajuwa majaji wenyewe Passion Lady, LiverpoolFC na mie
hivyo hatutaja zawadi kwani tutawafanya wachanganyikiwe mno hapa
Hivi hili shindano haliishi tukamjua mshindi au ndo mpaka kura zihesabiwe
cc ladyfurahia na Passion Lady
yani binamu wewe na hiyo
sura yako ya mvuto usijihesabie kabisaaa
huku tunawataka kina nitonye na wengine
wenye muonekano wa kutisha!!
​utanipiga faini eeeeh!!
ukurasa gani tena huo bestito? angalia chini upande wa kulia au juu upande wa kulia utaona namba zimeongozana click hapo itatokea bestito
huyu mshiriki majanga
yani anataka kujua zawadi?
Wakati ni siri ya majaji!!agaaaa!!
​umeona eeee!!watu na sura zao chachu teh!!Hahahahaha kweli huku majangaa binamu Passion Lady bora tuwaachie akina nitonye na Rejao maana wao wanaongoza kwa hapo
....Nadhani itakuwa zaidi ya faini.
​umeona eeee!!watu na sura zao chachu teh!!
Inabidi niwe mpole kabisa maana hapa ni kama unamshindanisha Nick Canon na Masoud Surambaya sijui hapo unategemea nini
Hahahaha..hapo kwa nick canon hapo...ila huyo masoud huyo alishawahi kukatiwa rufaa na marehemu ongala..
Ha ha ha Kipaji Halisi.. Nakumbuka baadae Dr. Remmy akaondoa rufaa yake.. Maana baada ya kumuangalia vzuri akagundua Masudi alikuwa mbovu mpaka mabaamedi wakawa wanamkataa lol..
yesuruu shemeji
unantisha!!