Mashindano ya Mvuto wa Sura Mbaya na Mwonekano wake

Mashindano ya Mvuto wa Sura Mbaya na Mwonekano wake

ukurasa gani tena huo bestito? angalia chini upande wa kulia au juu upande wa kulia utaona namba zimeongozana click hapo itatokea bestito
nautafuta huo ukurasa wa pili siuoni!
 
Last edited by a moderator:
ni bora umemuelewesha kwani sasa tuna kura nyingi sana hivyo tuko kwenye kuhesabu ingawaje wengine washendwa kupigiwa kura kutokana na kutoonekana kwenye platform, wengiine wamegoma kura eti kwa sababu ya kutoona majina yao kwenye screen, wengine wanalia lia atu hawaeleweki sijui kwanini, huku kambini full vituko kila siku iendayo kwa
zoezi litachukuwa muda wanachanganya na walizoweka kwenye hotpot
 
Mpwa Elli upo lakini..? Umeadimika sana.. Halafu jamaa yetu mjeshi saudari sijamuona kitambo.. Alikuwa muhamiaji haramu nini karudishwa kwao Malawi..?

Mimi nipo babaangu ila mihangaiko na shughuli la kila siku ndo zinanifanya kupotea jamvini.
1.jpg
 
hee makubwa
ulikuwa wapi wewe wakati tunaandaa mashindano haya jamani maana ingekupasa nawe uwe msshiriki hapa
ila hujachelewa njoo kambini kwetu ujiandikishe ngoja nimwite LiverpoolFC aje kukupa namba yako ya ushiriki
Mimi nipo babaangu ila mihangaiko na shughuli la kila siku ndo zinanifanya kupotea jamvini.
View attachment 114535
 
Last edited by a moderator:
hatujamaliza bestito kwani tuko kwenye mchakato wa kukusanya kura na kuzihesabu
kwani kura ni nyingi sana yaani tunahesabu mpaka mafua yanatutoka holvyo hovyo
Hamjamaliza tu shindano lenu......of course mshindi atakuwa nitonye
 
Back
Top Bottom