Mashindano ya Mvuto wa Sura Mbaya na Mwonekano wake

Mashindano ya Mvuto wa Sura Mbaya na Mwonekano wake

SHINDANO LA KUMSAKA MTU MWENYE MVUTO
WA SURA MBAYA WA CC - 2013

1. HAWA NDIO WASHIRIKI WALIOPENDEKEZWA KWENYE
KINYANG'ANYIRO CHA KUMSAKA MWENYE MVUTO WA SURA MBAYA 2013
nao ni:
View attachment 113832 View attachment 113833 View attachment 113834 View attachment 113835 View attachment 113836 Safari - ni - Safari @Noob Bishanga Mwita Maranya Mtambuzi

View attachment 113837 View attachment 113838 View attachment 113839 View attachment 113840 View attachment 113841 Bujibuji zumbemkuu Mzee wa Rula king kong 111 Slave

View attachment 113842 View attachment 113843 View attachment 113844 View attachment 113845 masobakyindi kabanga kukudume2013 stroke

Hawa ndiio washiriki waliopitishwa na majaji kushindanishwa
Taji hilo la MVUTO WA SURA MWAKA 2013

N:B: Tunaomba radhi katika para ya 2 kuna makosa ya kiufundi yamefanyika kuna washiriki]
ambao wamo kwenye orodha ya kati nao ni Mentor na asakune hao hawako kabisa
katika mashindano haya nawaomba radhi wasijisikie vibaya ni makosa tu yamejitokeza

Hivyo watazamaji wetu wapigieni kura hawa washiriki ili tuweze kumpata yule Kinara wa cc 2013
mwenye mvuto wa sura mbaya na mwonekano wa kipekee karibuni.

N:B: SAMAHANI
Samahani kama kuna washiriki ambao wajawaingizwa au wameingizwa kimakosa hapa mjengoni
Na kama wako wengine ambao hawakupenda kushiriki watupm ili tuwaondoe kwenye orodha hiyo


Wasalaamu

Ladyf
Mratibu wa shindano hili

cc: Mamndenyi, Passion Lady, Arushaone, Filipo, marejesho, watu8, stevoh, The secretary, Heaven on earth, Chimbuvu, mwaJ, Mwalu, Nicas Mtei, gfsonwin, sweetlady, FirstLady, Lady doctor, Jiwe Linaloishi, Munkari, Mzee, na marafiki wengineo wote karibuni kwenye mashindano haya




watu8 angalia hapo juu nipo mkuu wewe tupia kura yako tu.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
WALIOINGIA 10TOP BORA ni
Bujibuji, Slave, @noob, Bishanga, Mwita Maranya, kabanga, Mr Rocky, zumbemkuu, king kong111 na TIQO

Hivyo watazamaji wetu endeleeni kuwapigia watu hawa kwani ndo waliobaki kambini karibuni

cc😡Heaven on Earth, Lady doctor, Mamndenyi, Paloma, sosoliso, Erickb52, Arushaone, Filipo, Ruttashobolwa, stevoh, Younger Master na wengineo kujeni tumalize shindano hapa
mshindi wa kwnza atapewa nini? najua kwenye top 3 sikosi, nataka nijue zawadi gani itatolewa, kama ntapewa kabinti bikra ntafurahi sana.
 
usianze kuchochea baba anichape leo , huwaga tuna matani baba yetu hivyo usijiingize usijedhalilishwa na kukanwa peupee mchana huu
inamaana wewe sio mtoto wa watu8 ? ninachojua watoto woote wenyemajina ya lady ....... ni wanae mbona unathubutu kumtania wewe?
 
Back
Top Bottom