Mashindano ya Mvuto wa Sura Mbaya na Mwonekano wake

Mashindano ya Mvuto wa Sura Mbaya na Mwonekano wake

usianze kuchochea baba anichape leo , huwaga tuna matani baba yetu hivyo usijiingize usijedhalilishwa na kukanwa peupee mchana huu
any way ngoja nirudi jukwaani niendelee kunadi kampeni, ila baada ya shindano nitalianzisha timbwili
 
sasa mambo yako ya u Slave yapeleke kule mascat kwa seyid said sued na hilo timbwili unalotaka kulileta hapa ni l a nini au ushavurugwa nini wewe? nitamwambia jaji Liverpooljf akutoe maana unatishia usalama wa humu kambini km kale katoto ka EBSS kalivyotolewa mjengoni
any way ngoja nirudi jukwaani niendelee kunadi kampeni, ila baada ya shindano nitalianzisha timbwili
 
Last edited by a moderator:
sasa mambo yako ya u Slave yapeleke kule mascat kwa seyid said sued na hilo timbwili unalotaka kulileta hapa ni l a nini au ushavurugwa nini wewe? nitamwambia jaji Liverpooljf akutoe maana unatishia usalama wa humu kambini km kale katoto ka EBSS kalivyotolewa mjengoni

sorry mheshimiwa, just mbwembe za kuombea kura tu hizo
 
mbona unawaza sana zawadi wakati robo kura hujapata wangesema .................. waliokuwa na kura nyingi (siwataji)
mshindi wa kwnza atapewa nini? najua kwenye top 3 sikosi, nataka nijue zawadi gani itatolewa, kama ntapewa kabinti bikra ntafurahi sana.
 
WALIOINGIA 10TOP BORA ni
Bujibuji, Slave, @noob, Bishanga, Mwita Maranya, kabanga, Mr Rocky, zumbemkuu, king kong111 na TIQO

Hivyo watazamaji wetu endeleeni kuwapigia watu hawa kwani ndo waliobaki kambini karibuni

cc😡Heaven on Earth, Lady doctor, Mamndenyi, Paloma, sosoliso, Erickb52, Arushaone, Filipo, Ruttashobolwa, stevoh, Younger Master na wengineo kujeni tumalize shindano hapa

my cousin mshindi akipatikana naomba anione ninazawadi maalum kwa mshindi!
 
Back
Top Bottom