ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
- #221
inaruhusiwa hata kama una mvuto wa nanihiii nao unahesabika kwani naye kapata kura nyingi hivyo majaji hatuwezi kumtupa twamweka ila wenye SURA ZA MVUTO MBAYA ndo inamata zaidi
una lingine la kusema?
una lingine la kusema?
Swali la kizushi Jaji mkuu ladyfurahia.. Haya ni mashindano ya wenye sura mbaya.. Huyu TIQO yeye avatar yake haijaonyesha sura bali nanihii.. Inaruhusiwa kweli hii..?