Mashindano ya Mvuto wa Sura Mbaya na Mwonekano wake

hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nimelike na Invisible
 
Last edited by a moderator:
sina my wii ni mashindano walipendekeza wenyewe niandae
hivyo hapa kuna kazi wewe ngoja waje utaona watakaponipalamia
si utanisaidia kujinasua bestito my wii?
Hahahaha,my wii una utani wa ngumi..teh teh
 
kumbe hadi kaka yangu ni mshiriki wa kinyang'anyiro hicho
ngoja nimpe kura EMT pokea kura yangu bro
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahaaaa jamani nkamu nshakuwa mtoto mara hii
wakati mm naendesha motokaaa kubwa

Ulitaka niseme "loli ghwe mwana ughwe"...

Kiswahili kinawashinda wengi kukitumia mnatafsiri moja kwa moja lol...

Sikulifikiria shindano la namna hii ndio maana nikaishiwa maneno!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…