Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

1. Belgium. Gold. Time 6:19:34
2. France. Silver
3.France. Bronze
Wale waliokuwa wanaongoza pumzi ziliwaishia.. mbio au kuendesha baisikeli kwa muda mrefu mwanzo usitumie nguvu sanaaaa na usiwe nyuma sana, kuna mahali sasa ndo unaongeza speed then utawapita waliotangulia
 
Wale waogeleaji wetu ndo basi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…