daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
- Thread starter
- #41
Hadi sasa nchi 52 zina medali at least moja
Kwa Afrika ni South Africa, Uganda, Misiri na Morocco
Kwa Afrika ni South Africa, Uganda, Misiri na Morocco
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
274 km. Hatari sanaIla haya hii ya kuendesha baiskeli huna mazoezi ya nguvu aisee unashindwa, kilometa zote hizo unapiga pedo tuu lazima mapaja na miguu iitikie
Uganda hawapo tena kwa wanaongoza sijui alichoka hapo kati274 km. Hatari sana
NAam bado 18 km. Africa pumzi. HatunaUganda hawapo tena kwa wanaongoza sijui alichoka hapo kati
Wale waliokuwa wanaongoza pumzi ziliwaishia.. mbio au kuendesha baisikeli kwa muda mrefu mwanzo usitumie nguvu sanaaaa na usiwe nyuma sana, kuna mahali sasa ndo unaongeza speed then utawapita waliotangulia1. Belgium. Gold. Time 6:19:34
2. France. Silver
3.France. Bronze
Mwambie abaki hukohuko ajifue kwa mashindano yajayoMtanzania amemaliza wa mwisho…
Wale waogeleaji wetu ndo basi ?Wale waliokuwa wanaongoza pumzi ziliwaishia.. mbio au kuendesha baisikeli kwa muda mrefu mwanzo usitumie nguvu sanaaaa na usiwe nyuma sana, kuna mahali sasa ndo unaongeza speed then utawapita waliotangulia
Kwenye mchezo gani?Kuna yule dogo wa Mozambique aliepewa kadi nyekundu duh nimemuhurumia mno
KukimbiaKwenye mchezo gani?
Heri na Azam ya mbaguziYote kheri