Hivo vipaji viko wapi mkuu? Wanaonekana hata kwenye mashindano ya ndani?wachezaji wengi wazur tanzania wapo ila ni maskini, na hawana konekshen,
Hao wachezaji wenu ni michongo na konekshen, mitoto ya international schools, wengine wamepita kwa magumashi tu ya kubebana na kujuana kwingi hata kuogelea mita 50 bado unaenda kutia aibu unakua mtu wa mwisho..tumeshindwa hata na uganda wana medali moja ya gold..hata kenya wana silver, sisi tuna makalio tu ...wengine wamejipeleka kula perdiem[emoji706][emoji706][emoji706] , michezo iko mingi sana wabongo hawapo , sis nadhan tunaweza bia nyama choma.na kujadili aziz ki na mobeto, na kupiga madili ufisadi pesa za miradi.
Vipaji vipo na vinahitaji kuendelezwa na kufunzwa. Hao wote tunao waona sio vipaji pekee ila na mafunzi yapo yakutosha.. Mfano ukimbiaji mita 100 sio kuwa na kasi ila kuna kanuni nyingi sana mtu anatakiwa azifundishwe(hasa kananuni za Physics) ili awe bora katika mashindanoHivo vipaji viko wapi mkuu? Wanaonekana hata kwenye mashindano ya ndani?
Jana visiwa vya Saint Lucia imeshukua dhahabu women 100m mbio, na hii ndo medali yao ya kwanza kwa historia ya nchi yao. Mwaka huu wanawachezaji 5.
Huyu demu leo saa 5 na robo yupo tena kwenye 200 m
Anasepa kama upepo
Hili ni tatizo kubwa sana.Vipaji vipo na vinahitaji kuendelezwa na kufunzwa. Hao wote tunao waona sio vipaji pekee ila na mafunzi yapo yakutosha.. Mfano ukimbiaji mita 100 sio kuwa na kasi ila kuna kanuni nyingi sana mtu anatakiwa azifundishwe ili awe bora katika mashinano
Swala la vipaji pia viko tena ndani ndani jee tunaweza kuvitafuta na kuendeleza?
Nakumbuka kipindi niko form 3 mashindano ya ki shule kupata atakae wakilisha mita 100.. Nilishika namba moja hadi ki mkoa, ila chaa ajabu alie iwakilisha mkoa ni namba mbili yaan nlompita Hivyo kujuana kupo na hapa ndo tunapoteza dira.
Ulikuwa mkoa wa Manyara wanaotoka wanaridha wengi wa ki mbulu(hawa viongozi wengi ni wa mbulu(iraq)) sasa mimi sikuwa katika kabila hilo na wilaya yao.
Na kudanganyana kula ugali wa Dona unanguvu. Hivyo ni vyakula vya mifugo huko Kwa washindi wa Olympicmkuu waafrica sisi kutwa huwa tunajisifu tunanguvu, lakini hata kwenye michezo hiyo ya nguvu huwaga hatuonekani.
kukimbia tupo fresh ila ukija kwetu unakuta hata washiriki 10 hatuna
Vipaji vipo vingi tu, kinachotakiwa ni kuwa na vituo kwa ajili ya mafunzo kwa hivyo vipaji.,Hivo vipaji viko wapi mkuu? Wanaonekana hata kwenye mashindano ya ndani?
Jana visiwa vya Saint Lucia imeshukua dhahabu women 100m mbio, na hii ndo medali yao ya kwanza kwa historia ya nchi yao. Mwaka huu wanawachezaji 5.
Huyu demu leo saa 5 na robo yupo tena kwenye 200 m
Anasepa kama upepo
Liko vizuri sana mkuu, shepu nzuri, kasi, ndio nime tune hapa na leo nimuone aisee..mim hua naangalia pia na mashepu ya wadada hao [emoji39][emoji39][emoji39]Hivo vipaji viko wapi mkuu? Wanaonekana hata kwenye mashindano ya ndani?
Jana visiwa vya Saint Lucia imeshukua dhahabu women 100m mbio, na hii ndo medali yao ya kwanza kwa historia ya nchi yao. Mwaka huu wanawachezaji 5.
Huyu demu leo saa 5 na robo yupo tena kwenye 200 m
Anasepa kama upepo
Wazo safi, hela sasa madawati tu shidaVipaji vipo vingi tu, kinachotakiwa ni kuwa na vituo kwa ajili ya mafunzo kwa hivyo vipaji.,
Kwa mfano, Serikali inaweza kujenga Shule za michezo, wakaweka vifaa vyote muhimu vinavyohitajika, angalau wangeanza kwa kila kanda kujenga Shule moja moja yenye kila aina ya michezo, kuanzia uwanja wa Football, netball, Basketball, volleyball, riadha nk,halafu wanaanzisha mashindano ya Kikanda kuanzia Primary na Secondary schools, kisha watoto watakao-onyesha uwezo mkubwa, wanasajiliwa kwenye hizo Shule za michezo., sasa hapo inakuwa kazi yao ni moja tu, kusoma kidogo na michezo kwa wingi, baadae sasa kuelekea kwenye mashindano ya Kimataifa, zile Kanda zinashindwanishwa, watakaopatikana hapo wanaandaliwa kwa ajili sasa ya kutuwakilisha.
Hilo ninaamini tunaweza kabisa, ni maamuzi tu na mipango sahihi, ila kabla ya yote ni kugharamia Walimu wa hiyo michezo, tunawapeleka nchi mbali mbali kwa ajili ya mafunzo kutegemea na uhitaji.
Pamoja na yule mmarekani alokuwa wapili, channel gani ipoLiko vizuri sana mkuu, shepu nzuri, kasi, ndio nime tune hapa na leo nimuone aisee..mim hua naangalia pia na mashepu ya wadada hao [emoji39][emoji39][emoji39]
Sio mijitu ya huku imenenepeana imepeleka timu olympic, ni aibu sana.
Nimecheki ratiba 200m wanakimbia saa 5 na dakika 55. Sasahivi wapo 3000m. Siku imeanza sasaPamoja na yule mmarekani alokuwa wapili, channel gani ipo
Miaka yote ndio hua anaongoza kwenye uogeleaji. Ni dominant kwenye hilo eneo.USA anawaogeleaji
Kabisa mkuu, mchina anamfukuzia kwa kasi sana. India cricket ndo wanaona ni mchezo. Mkenya women 3000m heat 1, kamaliza wa mwisho kunamuethiopia kapiga namba 2Miaka yote ndio hua anaongoza kwenye uogeleaji. Ni dominant kwenye hilo eneo.
Kwa sasa naona anapata upinzani mkali sana toka China, Japan, Australia na nchi za Ulaya.
India nchi ina watu 1.4b lakini hakuna chochote cha maana wanafanya.
South Sudan ina timu bomba sana ya basketball.
wachezaji wengi wazur tanzania wapo ila ni maskini, na hawana konekshen,
Hao wachezaji wenu ni michongo na konekshen, mitoto ya international schools, wengine wamepita kwa magumashi tu ya kubebana na kujuana kwingi hata kuogelea mita 50 bado unaenda kutia aibu unakua mtu wa mwisho..tumeshindwa hata na uganda wana medali moja ya gold..hata kenya wana silver, sisi tuna makalio tu ...wengine wamejipeleka kula perdiem[emoji706][emoji706][emoji706] , michezo iko mingi sana wabongo hawapo , sis nadhan tunaweza bia nyama choma.na kujadili aziz ki na mobeto, na kupiga madili ufisadi pesa za miradi.
Ni kriket tu ndio hua wanakua mabingwa wa Dunia miaka na miaka. Sasa hivi wanapata upinzani kuttoka south Afrika lakini kriketi ndio mchezo pekee wanaojua.Kabisa mkuu, mchina anamfukuzia kwa kasi sana. India cricket ndo wanaona ni mchezo. Mkenya women 3000m heat 1, kamaliza wa mwisho kunamuethiopia kapiga namba 2
Olympic ndo muda muafaka wa kucheki michezo mbalimbali.View attachment 3061116
Kila nikitafta olympiki google inaniletea Tanzania medali zero.
Hadi jana China alikua anaongoza kwa gold akiwa nazo 13 akifuatiwa na Australia na France. Marekani alikua na 9. Ghalfa leo Marekani ana 14 na soon atampiga mchina.
Olympic ndio sports season pekee hua napenda kuangalia kwa sababu mimi sio fan wa football. Napenda kuogelea, kukimbia, kutembea, kuendesha baiskeli kulenga shabaha na michezo mingine.
Lucia kashinda tena mkuu...[emoji1][emoji1][emoji1] Halaf hana mbwembwePamoja na yule mmarekani alokuwa wapili, channel gani ipo
Namuangalia hapa kaka, round 1 heat 1 huyu anawaburuza mikimbio yote mpaka anabeba gold hapaLucia kashinda tena mkuu...[emoji1][emoji1][emoji1] Halaf hana mbwembwe
Platform mkuu,nakupewa nafaasi,.ndio.mana kuna wakenya wanaadilisha uraiaKuna jamaa huwa anafanya mazoez y kutembea daily hii njia ya goba yupo vzr san cjui km anajua kuna mashndano ya kutembea