Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

kenya gold 5000m, medali ya silver ya kenya wameidisqualify
 
tuanze kuwekeza kwenye facility za michezo. ikiwezekana mashuleni.
Viwanja vingi vya mashuleni vimeuzwa na viongozi wenye tamaa
Yaani kama anakuja Rais au waziri mkali na akarudisha kila viwanja ingekuwa poa sana na kama Rais atampa Baraka zote waziri na kutoa support kwa ukali
Kuna watu na njaa zao wameuza kila kiwanja mpaka kwenye sehemu za Dini pia
 
Sasa startimes nilikuwa nayo 2017 hadi majuzi kweli ni ya wazee na watoto inamakatuni hadi basi
naangalizia itv na tbc habari. zuri wa watu wa startimes hutosikia tukicomment tofauti na wale wa azam
 
Jomba hata mazoezi ya kutembea ni magumu kuliko kukimbia kwasababu yanaleta injuries kirahisi sana kwenye nyayo. Kwahiyo usione watu wanashindana kutembea ukadhani ni rahisi. Walking race inaogopwa hata na wanariadha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…