Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Hawajamuibia kwwli mjamaica mkuu?

1.LYLES N 9.79784
2. THOMPSON K 9.79789

Hii battle ilikua kali
Kwa macho nilidhani Kishane Thompson kashinda.

Ila photo finish imeonyesha tofauti.

Na sheria yao ni kwamba, kinachoangaliwa ni torso na siyo mguu kuvuka mstari.

Noah aliinama na hivyo sehemu ya kiwiliwili chake ilivuka mstari kabla ya Kishane.

Alichokosea Kishane ni kutokuinama alipokaribia mstari.

Kwa tofauti ya .005, angeinama angekuwa na nafasi kubwa ya kushinda.

Big up kwa Noah Lyles. Always team USA baby 🇺🇸.
 
Mara ya mwisho USA kushinda ilikuwa 2004
2008 Usain Bolt
2012 Usain Bolt
2016 Usain Bolt
 
25m rapid fire pistol men - china gold

Standing
CHina 20 gold
Usa 19 gold
 
Back
Top Bottom