daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
- Thread starter
- #141
Botswana na South Africa wanawakilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana 9.79 wa kwanza na wapili. Camera imeamua jamaica hadi muda huu hana goldUSA
Jamaica
USA
19 vs 19 goldWomen 4 × 100 medley relay. Usa gold. China bronze
China 19 gold
Usa 18 gold
Hatari sana
Yaan kwa macho unaweza sema Jamaica kapita wote ni 9.79Hatari sana 9.79 wa kwanza na wapili. Camera imeamua jamaica hadi muda huu hana gold
Bila VAR ngumu kujuaHatari sana 9.79 wa kwanza na wapili. Camera imeamua jamaica hadi muda huu hana gold
Hawajamuibia kwwli mjamaica mkuu?Yaan kwa macho unaweza sema Jamaica kapita wote ni 9.79
Hapa sawa1.LYLES N 9.79784
2. THOMPSON K 9.79789
Hii battle ilikua kali
Hawajamuibia kwwli mjamaica mkuu?
Kwa macho nilidhani Kishane Thompson kashinda.1.LYLES N 9.79784
2. THOMPSON K 9.79789
Hii battle ilikua kali
Aise imebid wachore kwenye system kabisa, jamaa wana. Teknolojia za uhakika kabisa ..mjamaica kafadhaika sana japo kapata silver..1.LYLES N 9.79784
2. THOMPSON K 9.79789
Hii battle ilikua kali
Tofauti ya 0.00005 seconds1.LYLES N 9.79784
2. THOMPSON K 9.79789
Hii battle ilikua kali
Mara ya mwisho USA kushinda ilikuwa 2004Kwa macho nilidhani Kishane Thompson kashinda.
Ila photo finish imeonyesha tofauti.
Na sheria yao ni kwamba, kinachoangaliwa ni torso na siyo mguu kuvuka mstari.
Noah aliinama na hivyo sehemu ya kiwiliwili chake ilivuka mstari kabla ya Kishane.
Alichokosea Kishane ni kutokuinama alipokaribia mstari.
Kwa tofauti ya .005, angeinama angekuwa na nafasi kubwa ya kushinda.
Big up kwa Noah Lyles. Always team USA baby 🇺🇸.
Gold germany, silver britain, bronze usaMixed relay final 👏
Wamekuja mpita mwishoni kabisaAise imebid wachore kwenye system kabisa, jamaa wana. Teknolojia za uhakika kabisa ..mjamaica kafadhaika sana japo kapata silver..
Alimalizia mita 50 kwa sekunde 28.42, nikimwona alijitahidi sana lakini japo alikuwa wa mwisho kwenye kundi LaoNlitaman nione alivotuabisha .
Yes, wanachek gold kwanza, mkifanana wanaenda silverHivi mwenye gold nyingi tu?
View attachment 3061756
Lazima ushiriki mashindano na ufikishe vigezo vya olympikiutaratibu ukoje endapo mwakani nataka kushiriki?