Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Ameandika Godbless E. J. Lema kwenye mtandao wa X kuwa:-
"Naambiwa vijana wengi leo wa boda boda wamepata ajali mbaya ktk mashindano haya na wengine watatu wamefariki wakitokea ktk mashindano hayo huko Ngaramtoni leo. Zuieni huu UPUUZI ambao hautazamani wala kuzingatia regulation zozote za mashindano.Damu zao ziwe juu yenu. Sifa bila maarifa ni msiba mkubwa".