peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Wajinga ndio waliwao. Wacha wajiingize kwenye biashara ya kukatuka mikono,miguu na vichwa.
MOI wapo kwa kazi gani
MOI wapo kwa kazi gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taasisi gani inasimamia mashindano ya pikipiki Arusha, Kibaha na popote nchi hii mashindano ya aina hiyo yanapofanyika?Tatizo ni kuwa wapinzani hawana sera, wanavizia kila kitu kwao ni mwao.
Kibaha mara kwa mara mashoindanoi ya pikipiki Off trial yanfanyika tena wanaandaliwa na watu boinafsi, isiwe mwao.
Mimi nilikuwa sijui, mwanangu ali time livu yake kuja na yeye ashiriki mashindano hayo, ndiyo nikaelewa.
Fikiri, kasafarisha pikipiki mbili za mashindano hayo kutokea Canada na spare za pikipiki na tools zake, ili aingie kwenye mashindano kwa siku moja tu.
Ndipo nilipojuwa kuwa Kibaha yanafanyika hayo mashindano.
Haya ya Makonda sijamwambia lakini kumbe kishapata habari, amejitahidi sana aje lakini bahati mbaya kwake alikuwa kishapanga mambo yake mengine kabla, akashindwa kuyavunja.
Wenye kufanya huo mchezo wanakuwa kama mateja ya huo mchezo. Huwaambii kitu ingawa ajali ni kitu cha kawaida kwenye huo mchezo.
Swala si ajali kutokea, ni kwamba lazima kupata kibali toka baraza la michezo na kupewa masharti ya kanuni za kufuatwa na washiriki wote na wasio washiriki.So unafikiri ajali isingekuwepo?
SahihiSwala si ajali kutokea, ni kwamba lazima kupata kibali toka baraza la michezo na kupewa masharti ya kanuni za kufuatwa na washiriki wote na wasio washiriki.
Tatizo lako ni kutokuwa na ndugu hivyo haujawahi kushiriki kuandaa sherehe yoyote mtaani kwako.
SahihiHata kama hayasimamiwi na chombo kilichosajiliwa serikalini lakini ni lazima yapate kibali toka baraza la michezo na hupewa masharti ya usalama wa wachezaji na watu wengine. Mnaoandika maneno ya hovyo mjue michezo si siasa kwani hata ngoma za mitaani husimamiwa na serikali za mitaa kwa kibali chenye masharti na hulipiwa.
Sasa ndio umeandika nn wewe mbulula?Kupata ajali kwenye mashindano kama hayo ni jambo la kawaida sana.Hata Formula 1 watu wanapata ajali.
Hao waliopata ajali wakitoka kwenye hayo mashindano hawawezi kumlaumu muandaaji wa hayo mashindano.Ukipata ajali ukiwa unatoka kwenye sherehe ya harusi huwezi kumlaumu bwana harusi.
Kinachomsumbua Lema na wapumbavu wenzake ni chuki waliyobeba dhidi ya Makonda.
Hicho hicho kilicho andaa!Chombo gani kinasimamia mashindano ya pikipiki Arusha?
Sasa kama vijana wenyewe hawafuati sheria za barabara wategemee nini? Makonda kwa sasa ni mkubwa sana kisiasa kwa Lema.
We kiazi ni motorcross gani ambayo watu hawapati ajali?Jamaa una argue kitoto sana asee. Yani mashindano ambayo hayana hata safety controls wewe unatetea tu kisa ushabiki wa kisiasa
Wanaotumia akili wamenielewa,wewe MPUMBAVU unayetumia matako kufikiri huwezi kunielewa.Sasa ndio umeandika nn wewe mbulula?
Ajali zipo kila mahali mkuu hata sehemu zetu za kazi ambazo hakuna mashindano. Nataka kukuuliza kwa mashindano hayo ambayo ni very risk niambie ni regulatory body gani ipo na niambie safety controls zilizopo.We kiazi ni motorcross gani ambayo watu hawapati ajali?
Kwenye mashindano ya jana njia zote zilikaguliwa na kuonekana zinafaa,pia kulikuwa na huduma za dharula.
Sasa we MPUMBAVU ni safety major gani unayotaka.
Chuki zenu dhidi ya Makonda imewafanya kama mazezeta,no reasoning.
Kweli kabisa,ila uzuri mwaposa yupo hapo atawafufua na wataendelea na maishaAjali zipo kila mahali mkuu hata sehemu zetu za kazi ambazo hakuna mashindano. Nataka kukuuliza kwa mashindano hayo ambayo ni very risk niambie ni regulatory body gani ipo na niambie safety controls zilizopo.
Wewe ndio mpuuzi maana hayo mashindano hata boda kuvaa tu helmet hakuna. Hawana safety gears. Hakuna rescue services incase of accidents. Yani yapo kihuni tu na huyo nyamitako ana bless tu vijana kufa.
Wewe ni kichaa in the fisrt place.
Awafufue tuKweli kabisa,ila uzuri mwaposa yupo hapo atawafufua na wataendelea na maisha
Ova
Wale hawakuwa washindanaji walikuwa washabiki tu wanaenda kuangalia mashindano wakaanza mbwembwe njiani wakiendaKupata ajali kwenye mashindano kama hayo ni jambo la kawaida sana. Hata Formula 1 watu wanapata ajali.
Hao waliopata ajali wakitoka kwenye hayo mashindano hawawezi kumlaumu muandaaji wa hayo mashindano. Ukipata ajali ukiwa unatoka kwenye sherehe ya harusi huwezi kumlaumu bwana harusi.
Kinachomsumbua Lema na wapumbavu wenzake ni chuki waliyobeba dhidi ya Makonda.