Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa una argue kitoto sana asee. Yani mashindano ambayo hayana hata safety controls wewe unatetea tu kisa ushabiki wa kisiasaSijui taasisi gani inasimamia.
Ninachojua pia sio lazima mashindano yote ya michezo yasimamiwe na taasisi rasmi.
Mtaani kuna mashindano ya michezo mbalimbali ambayo hayasimamiwi na taasisi yoyote rasmi,sembuse hayo ya Arusha yaliyoandaliwa na uongozi wa mkoa.
Lema ana hoja ya muhimu.Bongo kila sehemu siasa tu.. Hapo lema ni siasa tu, ni kweli simkubali bwana bashite lakini hapa lema analeta siasa,
Hue da akawa na hoja lakini swali je alihoji hivi kabla au baada ya kuona vifo vimetokea?
Wao walishawahi kushindana!? Au wanawapeleka wenzao kama mbinu ya kuwapunguza dunianiYanasimamiwa na hao pichani
Umeshindwa kabisa kujibu hoja ya mleta mada, umeanza porojo tu. Hayo mashindano ni batili na ni dalili ya upumbavu uliokithiri wa viongozi wetu. Hao washiriki unaweza kuta hawana hata sifa za kushiriki, wengine hata mafunzo, leseni na riding gears hawana.Kupata ajali kwenye mashindano kama hayo ni jambo la kawaida sana.Hata Formula 1 watu wanapata ajali.
Hao waliopata ajali wakitoka kwenye hayo mashindano hawawezi kumlaumu muandaaji wa hayo mashindano.Ukipata ajali ukiwa unatoka kwenye sherehe ya harusi huwezi kumlaumu bwana harusi.
Kinachomsumbua Lema na wapumbavu wenzake ni chuki waliyobeba dhidi ya Makonda.
Kwamba hata yakisimamiwa na hao FIA ndio watu hawafi???.........wewe nawe uko kama lema ...........lema ni kilemaMashindano ya Formular 1 yanasimamiwa na Fédération Internationale de l'Automobile(FIA), mashindano ya Arusha yanasimamiwa na taasisi gani??
Hata kama hayasimamiwi na chombo kilichosajiliwa serikalini lakini ni lazima yapate kibali toka baraza la michezo na hupewa masharti ya usalama wa wachezaji na watu wengine. Mnaoandika maneno ya hovyo mjue michezo si siasa kwani hata ngoma za mitaani husimamiwa na serikali za mitaa kwa kibali chenye masharti na hulipiwa.Sijui taasisi gani inasimamia.
Ninachojua pia sio lazima mashindano yote ya michezo yasimamiwe na taasisi rasmi.
Mtaani kuna mashindano ya michezo mbalimbali ambayo hayasimamiwi na taasisi yoyote rasmi,sembuse hayo ya Arusha yaliyoandaliwa na uongozi wa mkoa.
Wasingepata ajali mngeuliza yanasimamiwa na nani?Mashindano ya Formular 1 yanasimamiwa na Fédération Internationale de l'Automobile(FIA), mashindano ya Arusha yanasimamiwa na taasisi gani??
Umeongea ukweli. Lema ana chuki nzito sana kwasababu Mako amehusika kwenye kuandaa. Sipati picha kama Mbowe ndio angekuwa ameandaa hiyo michuanoKupata ajali kwenye mashindano kama hayo ni jambo la kawaida sana.Hata Formula 1 watu wanapata ajali.
Hao waliopata ajali wakitoka kwenye hayo mashindano hawawezi kumlaumu muandaaji wa hayo mashindano.Ukipata ajali ukiwa unatoka kwenye sherehe ya harusi huwezi kumlaumu bwana harusi.
Kinachomsumbua Lema na wapumbavu wenzake ni chuki waliyobeba dhidi ya Makonda.
Taasisi gani inayosimamia mashindano ya pikipiki Arusha? Regulator wa hayo mashindano ni chombo kipi??Huyu Lema ni mshamba, mtoto wa Bhakresa alikufaga kwenye mashindano ya aina hio hio japo yao yalikuwa ni ya magari. Hakuna kinga ya kifo its just a matter of time na kuingia kwenye hayo mashindano ni hiari ya mtu tu.
Kwa hili nakuunga mkono, kutokea ajali kwenye Rally yoyote sio kitu cha ajabu, iwe Afica, Ulaya, Asia na popote na hao watatu ni wachache...ule ni mchezo na ni Passion ya vijana....Tatizo ni kuwa wapinzani hawana sera, wanavizia kila kitu kwao ni mwao.
Kibaha mara kwa mara mashoindanoi ya pikipiki Off trial yanfanyika tena wanaandaliwa na watu boinafsi, isiwe mwao.
Mimi nilikuwa sijui, mwanangu ali time livu yake kuja na yeye ashiriki mashindano hayo, ndiyo nikaelewa.
Fikiri, kasafarisha pikipiki mbili za mashindano hayo kutokea Canada na spare za pikipiki na tools zake, ili aingie kwenye mashindano kwa siku moja tu.
Ndipo nilipojuwa kuwa Kibaha yanafanyika hayo mashindano.
Haya ya Makonda sijamwambia lakini kumbe kishapata habari, amejitahidi sana aje lakini bahati mbaya kwake alikuwa kishapanga mambo yake mengine kabla, akashindwa kuyavunja.
Wenye kufanya huo mchezo wanakuwa kama mateja ya huo mchezo. Huwaambii kitu ingawa ajali ni kitu cha kawaida kwenye huo mchezo.
TMSCTaasisi gani inayosimamia mashindano ya pikipiki Arusha? Regulator wa hayo mashindano ni chombo kipi??
So unafikiri ajali isingekuwepo?Hata kama hayasimamiwi na chombo kilichosajiliwa serikalini lakini ni lazima yapate kibali toka baraza la michezo na hupewa masharti ya usalama wa wachezaji na watu wengine. Mnaoandika maneno ya hovyo mjue michezo si siasa kwani hata ngoma za mitaani husimamiwa na serikali za mitaa kwa kibali chenye masharti na hulipiwa.
Mkuu kabla hamjajibu msijibu kwa mihemko na hasira shirikisheni bongo zenu kwanza. Hoja nyepesi ila naona umekurupukaKupata ajali kwenye mashindano kama hayo ni jambo la kawaida sana.Hata Formula 1 watu wanapata ajali.
Hao waliopata ajali wakitoka kwenye hayo mashindano hawawezi kumlaumu muandaaji wa hayo mashindano.Ukipata ajali ukiwa unatoka kwenye sherehe ya harusi huwezi kumlaumu bwana harusi.
Kinachomsumbua Lema na wapumbavu wenzake ni chuki waliyobeba dhidi ya Makonda.
Taasisi gani iliyotengeneza taratibu za hayo mashindano?Turudi ktk swali.. nani kasimamia? Kuna utaratibu maalumu uliwekwa (registration) na zipo kamati maalumu za kufatilia hilo jambo.
Reference:
View attachment 3042573
Bodaboda wa Arusha acha WAFE mie nafurahi sana nikiskia wamekufa ni wajinga sana na hawana cha kupoteza zaidi ya maisha yao tu.
Chombo gani kinasimamia mashindano ya pikipiki Arusha?Lema anafeli sana anapenda kutunga uongo na uzandiki hivi ndivyo anavyowacha Makonda anachanja mbuga watu wameanza kumpuuza Lema na chadema vijana wa Arusha hawana muda wa udaku!