Mashindano ya pikipiki Arusha yanasimamiwa na chombo gani cha michezo?

Jamaa una argue kitoto sana asee. Yani mashindano ambayo hayana hata safety controls wewe unatetea tu kisa ushabiki wa kisiasa
 
Bongo kila sehemu siasa tu.. Hapo lema ni siasa tu, ni kweli simkubali bwana bashite lakini hapa lema analeta siasa,
Hue da akawa na hoja lakini swali je alihoji hivi kabla au baada ya kuona vifo vimetokea?
Lema ana hoja ya muhimu.

Haya mashindano wayaangalie upya, mwezi wa nne yanafanyika moshi vasso kila mwaka, vijana wanaopata ajali njiani na kupoteza maisha ni wengi(habari ipo milardAyo). Na wengi wanatokea Arusha. Tunapenda michezo lakini hili waliangalie.

Bikers wengi wa arusha pia ni walevi waliokithiri, hii pia inachangia pakubwa kupata ajali, wabadilike vinginevyo hali itazidi kuwa mbaya.
 
Tatizo ni kuwa wapinzani hawana sera, wanavizia kila kitu kwao ni mwao.

Kibaha mara kwa mara mashoindanoi ya pikipiki Off trial yanfanyika tena wanaandaliwa na watu boinafsi, isiwe mwao.

Mimi nilikuwa sijui, mwanangu ali time livu yake kuja na yeye ashiriki mashindano hayo, ndiyo nikaelewa.

Fikiri, kasafarisha pikipiki mbili za mashindano hayo kutokea Canada na spare za pikipiki na tools zake, ili aingie kwenye mashindano kwa siku moja tu.

Ndipo nilipojuwa kuwa Kibaha yanafanyika hayo mashindano.

Haya ya Makonda sijamwambia lakini kumbe kishapata habari, amejitahidi sana aje lakini bahati mbaya kwake alikuwa kishapanga mambo yake mengine kabla, akashindwa kuyavunja.

Wenye kufanya huo mchezo wanakuwa kama mateja ya huo mchezo. Huwaambii kitu ingawa ajali ni kitu cha kawaida kwenye huo mchezo.
 
Umeshindwa kabisa kujibu hoja ya mleta mada, umeanza porojo tu. Hayo mashindano ni batili na ni dalili ya upumbavu uliokithiri wa viongozi wetu. Hao washiriki unaweza kuta hawana hata sifa za kushiriki, wengine hata mafunzo, leseni na riding gears hawana.
 
Huyu Lema ni mshamba, mtoto wa Bhakresa alikufaga kwenye mashindano ya aina hio hio japo yao yalikuwa ni ya magari. Hakuna kinga ya kifo its just a matter of time na kuingia kwenye hayo mashindano ni hiari ya mtu tu.
 
Mashindano ya Formular 1 yanasimamiwa na Fédération Internationale de l'Automobile(FIA), mashindano ya Arusha yanasimamiwa na taasisi gani??
Kwamba hata yakisimamiwa na hao FIA ndio watu hawafi???.........wewe nawe uko kama lema ...........lema ni kilema
 
Hata kama hayasimamiwi na chombo kilichosajiliwa serikalini lakini ni lazima yapate kibali toka baraza la michezo na hupewa masharti ya usalama wa wachezaji na watu wengine. Mnaoandika maneno ya hovyo mjue michezo si siasa kwani hata ngoma za mitaani husimamiwa na serikali za mitaa kwa kibali chenye masharti na hulipiwa.
 
Mashindano ya Formular 1 yanasimamiwa na Fédération Internationale de l'Automobile(FIA), mashindano ya Arusha yanasimamiwa na taasisi gani??
Wasingepata ajali mngeuliza yanasimamiwa na nani?
 
Umeongea ukweli. Lema ana chuki nzito sana kwasababu Mako amehusika kwenye kuandaa. Sipati picha kama Mbowe ndio angekuwa ameandaa hiyo michuano
 
Huyu Lema ni mshamba, mtoto wa Bhakresa alikufaga kwenye mashindano ya aina hio hio japo yao yalikuwa ni ya magari. Hakuna kinga ya kifo its just a matter of time na kuingia kwenye hayo mashindano ni hiari ya mtu tu.
Taasisi gani inayosimamia mashindano ya pikipiki Arusha? Regulator wa hayo mashindano ni chombo kipi??
 
Kwa hili nakuunga mkono, kutokea ajali kwenye Rally yoyote sio kitu cha ajabu, iwe Afica, Ulaya, Asia na popote na hao watatu ni wachache...ule ni mchezo na ni Passion ya vijana....

Ht Mtoto wa Billionea Bakhressa alipataga ajali huko na kufariki km nakumbuka vizuri

Tuache Ushamba
 
So unafikiri ajali isingekuwepo?
 
Mkuu kabla hamjajibu msijibu kwa mihemko na hasira shirikisheni bongo zenu kwanza. Hoja nyepesi ila naona umekurupuka
 
Taasisi gani iliyotengeneza taratibu za hayo mashindano?
Kamati maalumu za hayo mashindano zimeundwa na nani na ziko ngapi?
Unaweza kuweka hapa kanuni na vigezo vya hayo mashindano pamoja na sheria zake hasa za usalama?
 
Lema anafeli sana anapenda kutunga uongo na uzandiki hivi ndivyo anavyowacha Makonda anachanja mbuga watu wameanza kumpuuza Lema na chadema vijana wa Arusha hawana muda wa udaku!
Chombo gani kinasimamia mashindano ya pikipiki Arusha?
 
Lema ana hoja! Isipokuwa amechelewa kuitoa.
Kama angetoa hiyo hoja kabla mashindano hayajaanza ingekuwa na tija!
Wakati sahihii wa kupanda mti ilikuwa ni jana, wakati mwingine sahihi ni leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…