Mashindano ya pikipiki Arusha yanasimamiwa na chombo gani cha michezo?

Wajinga ndio waliwao. Wacha wajiingize kwenye biashara ya kukatuka mikono,miguu na vichwa.

MOI wapo kwa kazi gani
 
Taasisi gani inasimamia mashindano ya pikipiki Arusha, Kibaha na popote nchi hii mashindano ya aina hiyo yanapofanyika?
 
Kwamba hata yakisimamiwa na hao FIA ndio watu hawafi???.........wewe nawe uko kama lema ...........lema ni kilema
Taasisi gani inayosimamia mashindano ya pikipiki Arusha?
 
Sahihi
 
Sahihi
 
Wasingepata ajali mngeuliza yanasimamiwa na nani?
Sijui kama wamepata au hawajapata ajali,
Taasisi gani inayosimamia mashindano ya pikipiki Arusha?
 
Sasa ndio umeandika nn wewe mbulula?
 
Sasa kama vijana wenyewe hawafuati sheria za barabara wategemee nini? Makonda kwa sasa ni mkubwa sana kisiasa kwa Lema.

Sema kuwa Bashite ni mkubwa sana katika kutrka na kuua watu. Ndiyo maana hata watu wakitrkwa Dar lazima wapelekwe Arusha kwanza ili akawape maelekezo ya namna ya kummaliza mhusika na kisha mwili wake wapewe fisi na mamba au uwe chakula cha samaki. Huyu ni mtu mkubwa sana maana ndite anayetoa kibali cha kuondoa roho za watu.
 
Ni chuki tu, kwani hayo mashindano ya pikipiki Arusha yameanza leo?
 
Jamaa una argue kitoto sana asee. Yani mashindano ambayo hayana hata safety controls wewe unatetea tu kisa ushabiki wa kisiasa
We kiazi ni motorcross gani ambayo watu hawapati ajali?
Kwenye mashindano ya jana njia zote zilikaguliwa na kuonekana zinafaa,pia kulikuwa na huduma za dharula.
Sasa we MPUMBAVU ni safety major gani unayotaka.
Chuki zenu dhidi ya Makonda imewafanya kama mazezeta,no reasoning.
 
Ajali zipo kila mahali mkuu hata sehemu zetu za kazi ambazo hakuna mashindano. Nataka kukuuliza kwa mashindano hayo ambayo ni very risk niambie ni regulatory body gani ipo na niambie safety controls zilizopo.

Wewe ndio mpuuzi maana hayo mashindano hata boda kuvaa tu helmet hakuna. Hawana safety gears. Hakuna rescue services incase of accidents. Yani yapo kihuni tu na huyo nyamitako ana bless tu vijana kufa.

Wewe ni kichaa in the fisrt place.

Ulishaona hata hizo circuits za motocross, motogp, n.k kwanza ni circuits ambazo haziingiliani na pedestrians na other motorists. Na kuna safety controls na ndio maana rate ya fatality ni ndogo.

Sasa wewe mwehu ambae akili kisoda unaongelea vitu usivyovijua.

Hata nikikuuliza safety controls ni nini hujui. Kumbaf
 
Mwaposa si yupo hapo awafufue

Ova
 
Kweli kabisa,ila uzuri mwaposa yupo hapo atawafufua na wataendelea na maisha

Ova
 
Kwenye mashindano ya jana njia zote zilikaguliwa na kuonekana zinafaa,pia kulikuwa na huduma za dharula.
Njia za mashindano zilikaguliwa na nani?
 
Wale hawakuwa washindanaji walikuwa washabiki tu wanaenda kuangalia mashindano wakaanza mbwembwe njiani wakienda

Traffic walikataza wao wakakaidi waligongana boda kwa boda sio washiriki wa mbio uwanja wa mbio

Lema naye mwehu haraka za kupost za nini angesubiri taarifa rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…