Ina maana kira kitu unataka kitoke kwa taasisi je kama ni mtu tu na pesa zake kaamua kuyaandaa? Ohh sijui watu wakiumia itakuwaje .........huko kwenye serikali bima yenyewe iko kama kamari ......je uko tayari kuzungushwa kwenye huduma na bima ni serikali? Mara kipimo hiki hakipo .....dawa hii haipo sasa kama kira kitu hakipo viko wapi???Taasisi gani inayosimamia mashindano ya pikipiki Arusha?
Unafahamu kwamba Tanzania hata kuweka maudhui kwenye channel ya youtube mtandaoni lazima usajiliwe na taasisi, kufanya comedy lazima usajiliwe na taasisi, kufanya usanii lazima usajiliwe??Ina maana kira kitu unataka kitoke kwa taasisi je kama ni mtu tu na pesa zake kaamua kuyaandaa? Ohh sijui watu wakiumia itakuwaje .........huko kwenye serikali bima yenyewe iko kama kamari ......je uko tayari kuzungushwa kwenye huduma na bima ni serikali? Mara kipimo hiki hakipo .....dawa hii haipo sasa kama kira kitu hakipo viko wapi???
Ungeenda kuendesha ufe wewe mbwa huna faida yoyote hapa nchiniAjali zipo kila mahali mkuu hata sehemu zetu za kazi ambazo hakuna mashindano. Nataka kukuuliza kwa mashindano hayo ambayo ni very risk niambie ni regulatory body gani ipo na niambie safety controls zilizopo.
Wewe ndio mpuuzi maana hayo mashindano hata boda kuvaa tu helmet hakuna. Hawana safety gears. Hakuna rescue services incase of accidents. Yani yapo kihuni tu na huyo nyamitako ana bless tu vijana kufa.
Wewe ni kichaa in the fisrt place.
Ulishaona hata hizo circuits za motocross, motogp, n.k kwanza ni circuits ambazo haziingiliani na pedestrians na other motorists. Na kuna safety controls na ndio maana rate ya fatality ni ndogo.
Sasa wewe mwehu ambae akili kisoda unaongelea vitu usivyovijua.
Hata nikikuuliza safety controls ni nini hujui. Kumbaf
Kusajiliwa ni ishara ya kutojiaminiUnafahamu kwamba Tanzania hata kuweka maudhui kwenye channel ya youtube mtandaoni lazima usajiliwe na taasisi, kufanya comedy lazima usajiliwe na taasisi, kufanya usanii lazima usajiliwe??
Asante bro. NaendaUngeenda kuendesha ufe wewe mbwa huna faida yoyote hapa nchini
Kuna hela nyingi Toka arabuni mpaka uchaguzi upite tutashifia mengiAmeandika Godbless E. J. Lema kwenye mtandao wa X kuwa:-
"Naambiwa vijana wengi leo wa boda boda wamepata ajali mbaya ktk mashindano haya na wengine watatu wamefariki wakitokea ktk mashindano hayo huko Ngaramtoni leo. Zuieni huu UPUUZI ambao hautazamani wala kuzingatia regulation zozote za mashindano.Damu zao ziwe juu yenu. Sifa bila maarifa ni msiba mkubwa".
Safety ya washiriki ilizangatiwa na waandaji hiyo ndio la muhimu.Sijui taasisi gani inasimamia. Ninachojua pia sio lazima mashindano yote ya michezo yasimamiwe na taasisi rasmi. Mtaani kuna mashindano ya michezo mbalimbali ambayo hayasimamiwi na taasisi yoyote rasmi,sembuse hayo ya Arusha yaliyoandaliwa na uongozi wa mkoa.