Wapendwa wana jamii, Poleni na majukumu.
Naomba mwenye kujua wapi naweza pata hizi machine za kukamua juice ya miwa na bei zake tafadhari, nafikiria kuanza huo mradi nikiipata hiyo machine kama Mungu akinijaalia.
Asanteni.
nenda pale ubungo mataa ya shekilango business park, zipo za kila aina na kwa bei saafi kulingana na ubora zinaanzia laki hivi.
Nenda pale kidongo chekundu, Gerezani wanauza tena bei chee,mi nilinunua apo
Jamani nahitaji kuwa mwana JF naanzia wp?
Njoo sinza makaburini
Njoo sinza makaburini
Jaribu kufuatilia kwenye mitandao mkuu.
Utapata tu.
Anza na google kisha endelea.
Am sure China lazima zipo. Au the simplest source ni kuuliza wale wanaouza hizo juice juu ya upatikanaji wa hizo mashine.
Watakwambia.
Ungekuwepo saba saba ungepata source kadha wa kadha.
Jamani nahitaji kuwa mwana JF naanzia wp?
Mkuu ninayo ya umeme modern,portable,bei poa sana,njoo pm tufanye biashara