Mashine ya Rostam inafanyaje kazi na imethibitishwa vipi?

Sasa mkuu swali lililopo ubaoni ni hili " Je zinafanyaje kazi ya kuzuia corona ? " wewe ukisaidia kutujibu hapa wala hatutahangaika
Kwani kazi ya sanitizer hujui kazi yake? Unapojitakasa si unakuwa umeua wale virusi wa corona na hapo ndio unakuwa umezuia maambukizi. Au zile sanitizer ulikuwa unazigawa mwembe yanga hata kazi yake ulikuwa hujui!😀😀😀
 
Mwili mzima !
 
Hoja nzuri.
Wabunge naona nao wanaoga tu.
 
Hili swali nami nimejiuliza sana. Either haziwezi kuwa effective au zina serious side effects hasa kwa watumiaji wa mara kwa mara.
 
Hujawahi kumkubali Rostam. Hilo linaeleweka.
Mimi nina swali tofauti kidogo: Unaifahamu ratiba ya mazishi ya mchungaji Rwakatare?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…