Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
Ccm na ufisadi ni sawa na uji na mgonjwaMzee Mwanakikiji ulivyokuwa unamtuksna Rostam sasa ndiye rafiki wa Magufuli na kapewa miradi mingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm na ufisadi ni sawa na uji na mgonjwaMzee Mwanakikiji ulivyokuwa unamtuksna Rostam sasa ndiye rafiki wa Magufuli na kapewa miradi mingi.
Rostam ni mwizi sasa magufuli atoke pangoni anyoshee kidole ohh wewe ni Fisadi
KAMPENI MWAKA HUU NI SIMPLE FISADIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIOngeza sauti juu kidogo mkuu.
Uwezekano wa Mimi kuwa na jibu la swali hili Ni upi?Hujawahi kumkubali Rostam. Hilo linaeleweka.
Mimi nina swali tofauti kidogo: Unaifahamu ratiba ya mazishi ya mchungaji Rwakatare?
Mshaurini Magufuli atumie watu wa Sido/veta/udsm,....wa modify magari ya washa washa ya polisi yanyunyizie dawa mitaani hasa dar. Yasiwekwe tu na kusubiri kutumika dhidi ya raia.Hili wazo pia limenijia maana naona limeanzia mbalimbali.. mashine inazidi kusogezwa tu; mwisho kwa majaji... mwisho...
Kwa kweli.. kilen kitabu cha ujasusi wa kidola na kiuchumi kina mambo mengi sana😄😄😀Kwa undani Soma kitabu Cha UJASUSI utajijibu maswali yako yote hayo.
Kwi kwi kwi teh teh.Nimeona mara kadhaa ndani ya wiki hii aliyekuwa Mbunge wa Igunga na Mfanyabiashara Maarufu Rostam Aziz akitoa kile kinachoitwa mashine za kunyunyizia dawa zenye kuua virusi. Mashine hizi ni "full body spray" kwamba mtu anaingia mashine zinatoa kitu kama manyunyu au mvuke ambao unadawa zenye kunyunyiza na kwamba dawa hiyo inadaiwa "kuua" virusi vya corona. Maswali:
1. Mashine hiyo imetengenezwa wapi na kwa lengo gani kabla ya ujio wa corona?
2. Je, ni dawa gani inatumika kunyunyizia watu kiasi kwamba wanajiexpose pumzi na ngozi zao kwa dawa hizo?
3. Je, dawa hizo zina vitu gani vyenye uwezo wa kuua corona kwa manyunyu lakini zisiwe na madhara kwa tu kupumulia au kuingia kupitia ngozi?
4. Kutokana na swali la 4; je inawezekana dawa hizi hazina vitu vyovyote vikali (active ingredients) ambazo zinaweza kusababisha kansa (carcinogens)? Visije kuua virusi vya corona lakini vikawa na madhara kwenye chembe za ngozi!
5. Dawa au mashine yoyote ya kufanya tiba inatakiwa ipitiwe utafiti wa kisayansi kuona uwezo wake kufanya unachofanya (efficacy) na kwa usalama (safety). Je, mashine hizi zimefanyiwa utafiti wapi na wa namna gani kuonesha kuwa zinafanya kile inachodaiwa kufanya?
6. Na kutokana na hilo la 5 je mtu akishapita kwenye hii mashine anakuwa amejikinga kwa muda gani? Ni kuwa virusi haviwezi kumgusa (vikimgusa vinakufa kama nzi kwenye moto). Je akibadilisha nguo bado ana "kinga" hiyo?
7. Wizara ya Afya inatakiwa kujibu maswali haya na watu wa TFDA pia.
Haya ni baadhi ya maswali tu. NI wazi kuwa Rostam anataka kutoa msaada na hili ni jambo zuri kweli kweli lakini bila kujibu au kutoa maelezo ya kujibu maswali haya (na labda mengine) ni vizuri watu waangalie na kufikiria mara mbili kabla ya kupita kwenye mashine hizi wakiamini kuwa wameua virusi vya corona na hivyo wako "clear".
Ninachojua ni kuwa mashine za namna hii zimekuwa zikitumika kuspray kwenye maeneo kama aiport, migodi n.k kwa ajili ya decontaminate watu. Na zipo za aina nyingi lakini linapokuja suala la corona ni kwa kiasi gani ziko effective ndio hasa swali langu.
Nje ya hapo, kama majibu ya maswali haya yote yanakubalika kiakili na yana msingi wa kisayansi RA anastahili pongezi za dhati na badala kumsubiria yeye tu serikali iwezeke kwenye kupata vifaa vingi zaidi.
MMM
NB: Mashine hii isije kuwa kama kikombe cha fulani.
BAADHI YA MASHINE ZA AINA HII:
View attachment 1425851
View attachment 1425854
kwani klia kitu lazima kianzie kwa wenzenu?Alafu hili swala linafikirisha, mbona hatujaona machine kama hii kwa nchi zingine au wenzangu mmeona wapi zinatumika kipindi hiki cha corona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa exactly My ThoughtsWasije wakamdanganya Mkuu wetu wakamuwekea mashine hiyo. Huyu jamaa mmh
Mwanakijiji hakuna mashine kama hizo ambazo zimeonekana Europe kwa sababu wao wana lockdown na kwa haraka haraka tu hakuna anayeweza kujibu hayo maswali, kwa sababu sifikirii kuna hata chembe kuonyesha hizo machine zinafanyaje kazi? Je, ukinyunyiziwa ina maana kwa muda gani huwezi kuwa na vijidudu vya Covid-19 kama ipo? Je, maambukizi yanatoka wapi ie nyumbani kwa watu au mitaani? Suluhisho la huu ugonjwa sio kitu rais jinsi wengi wanavyofikiria.Nimeona mara kadhaa ndani ya wiki hii aliyekuwa Mbunge wa Igunga na Mfanyabiashara Maarufu Rostam Aziz akitoa kile kinachoitwa mashine za kunyunyizia dawa zenye kuua virusi. Mashine hizi ni "full body spray" kwamba mtu anaingia mashine zinatoa kitu kama manyunyu au mvuke ambao unadawa zenye kunyunyiza na kwamba dawa hiyo inadaiwa "kuua" virusi vya corona. Maswali:
1. Mashine hiyo imetengenezwa wapi na kwa lengo gani kabla ya ujio wa corona?
2. Je, ni dawa gani inatumika kunyunyizia watu kiasi kwamba wanajiexpose pumzi na ngozi zao kwa dawa hizo?
3. Je, dawa hizo zina vitu gani vyenye uwezo wa kuua corona kwa manyunyu lakini zisiwe na madhara kwa tu kupumulia au kuingia kupitia ngozi?
4. Kutokana na swali la 4; je inawezekana dawa hizi hazina vitu vyovyote vikali (active ingredients) ambazo zinaweza kusababisha kansa (carcinogens)? Visije kuua virusi vya corona lakini vikawa na madhara kwenye chembe za ngozi!
5. Dawa au mashine yoyote ya kufanya tiba inatakiwa ipitiwe utafiti wa kisayansi kuona uwezo wake kufanya unachofanya (efficacy) na kwa usalama (safety). Je, mashine hizi zimefanyiwa utafiti wapi na wa namna gani kuonesha kuwa zinafanya kile inachodaiwa kufanya?
6. Na kutokana na hilo la 5 je mtu akishapita kwenye hii mashine anakuwa amejikinga kwa muda gani? Ni kuwa virusi haviwezi kumgusa (vikimgusa vinakufa kama nzi kwenye moto). Je akibadilisha nguo bado ana "kinga" hiyo?
7. Wizara ya Afya inatakiwa kujibu maswali haya na watu wa TFDA pia.
Haya ni baadhi ya maswali tu. NI wazi kuwa Rostam anataka kutoa msaada na hili ni jambo zuri kweli kweli lakini bila kujibu au kutoa maelezo ya kujibu maswali haya (na labda mengine) ni vizuri watu waangalie na kufikiria mara mbili kabla ya kupita kwenye mashine hizi wakiamini kuwa wameua virusi vya corona na hivyo wako "clear".
Ninachojua ni kuwa mashine za namna hii zimekuwa zikitumika kuspray kwenye maeneo kama aiport, migodi n.k kwa ajili ya decontaminate watu. Na zipo za aina nyingi lakini linapokuja suala la corona ni kwa kiasi gani ziko effective ndio hasa swali langu.
Nje ya hapo, kama majibu ya maswali haya yote yanakubalika kiakili na yana msingi wa kisayansi RA anastahili pongezi za dhati na badala kumsubiria yeye tu serikali iwezeke kwenye kupata vifaa vingi zaidi.
MMM
NB: Mashine hii isije kuwa kama kikombe cha fulani.
BAADHI YA MASHINE ZA AINA HII:
View attachment 1425851
View attachment 1425854
Hahahaaa exactly My Thoughts
Nimeona alianzia Dar kwa RC
Leo kasogea mjengoni kwa Nduguyai
Asijepeleka Chamwino tu manaake simuamini kabisa huyu gabacholi