Mr brown73
asante kwa ushauri wako wa kutaka kuweka bei kwa kila mashine.
Wazo lako ni zuri lakini ni gumu sana kwetu kwani sisi tunaunda incubator kulingana na mahitaji ya mteja.sasa inatuwia vigumu sana kuandika bei za kila mashine wakati hujui mahitaji ya mtu.
Tumeweka bei za jumla ktk page yetu facebook,bei muongozo,kwa anaetaka anaweza kupiga simu,kwani namba ziko wazi.
Pia kiujasiliamali inaruhusiwa kutoweka bei kwa bidhaa ambazo bei zinabadilika kulingana na gharama za vifaa.
Sasa bwana brown sisi ni waalimu mahiri wa ujasiliamali toka vyuo vya ufundi hapa tanzania,hatuwezi kuweka bei ktk mtandao wakati bei za material na vifaa zinabadilika kila wakati.
Kuna biashara za kuweka bei kabisa,na si kila biashara.
Ukiwa na shida piga simu kwa maelezo zaidi.
0784413039