Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Uundaji wa incubator za mge
1415947616317.jpg
 
Automatic egg incubator ikiwa ktk hatua za mwisho,mge ndio waundaji wa egg incubator za kisasa hapa dar es salaam.
1415947725185.jpg
 
Mteja wa mge mkoani njombe akikabidhiwa mashine yake mkoani njombe.

Walio mikoani tunatuma,usisite kuagiza kwa sababu uko mbali na dsm.
1415947932023.jpg
 
Mr brown73

asante kwa ushauri wako wa kutaka kuweka bei kwa kila mashine.
Wazo lako ni zuri lakini ni gumu sana kwetu kwani sisi tunaunda incubator kulingana na mahitaji ya mteja.sasa inatuwia vigumu sana kuandika bei za kila mashine wakati hujui mahitaji ya mtu.

Tumeweka bei za jumla ktk page yetu facebook,bei muongozo,kwa anaetaka anaweza kupiga simu,kwani namba ziko wazi.

Pia kiujasiliamali inaruhusiwa kutoweka bei kwa bidhaa ambazo bei zinabadilika kulingana na gharama za vifaa.

Sasa bwana brown sisi ni waalimu mahiri wa ujasiliamali toka vyuo vya ufundi hapa tanzania,hatuwezi kuweka bei ktk mtandao wakati bei za material na vifaa zinabadilika kila wakati.

Kuna biashara za kuweka bei kabisa,na si kila biashara.

Ukiwa na shida piga simu kwa maelezo zaidi.
0784413039
 
Mbona bei hakuna mkuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ninauza machine ya kutotolesha vifaranga 1800, full automatic, Kama kuna mtu anahitaji
nitafute kwenye number 0687 007 269 kama unahitaji
 
Je wewe upo Dar es salaam kwa kipindi hiki na unahitaji incubator?

Natengeneza mashine ya ukubwa wowote na kwa gharama nafuu. Ufanisi wake ni 89%-92% ikiwa mayai yana mbegu yote, masafi na bora.

Tuwasiliane kwa namba: 0754078015
Photo0001.jpg
Photo0002(1).jpg
 
Ya mayai 30 utapata kwa sh. Laki 1.30 inatumia umeme wa watt 25. Ni mannual.
 
kwa sasa napatikana dar baada ya wiki 2 nitakua mwanza. tuwasiliane 0754078015
 
60.jpgmayai 60.jpg hii ni mashine ya mayai 60 inatumia watt 40 nimetumia cool box kutengeneza. inauwezo wa kutumia ups au inverter. ufanisi wake ni wa hali ya juu. ikiwa na mzunguko wa hewa ya kutosha ndani na safi. Ni manual. Inagharim laki na 70
 
N.B Incubators kwa sasa ni Tshs 600,000 karibuni
 
Back
Top Bottom