pcman JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 742 Reaction score 189 Dec 9, 2014 #441 Mkuu mashine ya automatic ya mayai kama 1200 kwa makisia ni kiasi gani?
pozzyfaza JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,453 Reaction score 268 Dec 12, 2014 #443 kazi iliyofanyika kinyerezi
LOGORIDDIM JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 1,470 Reaction score 972 Dec 18, 2014 #444 Good info
pozzyfaza JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,453 Reaction score 268 Dec 19, 2014 #445 nimerudi mbeya. Kama unahitaji mashine tuwasiliane
pozzyfaza JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,453 Reaction score 268 Dec 21, 2014 #446 Kama upo mbeya unahitaji mashine piga no. 0754078015
alohadm JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 360 Reaction score 157 Dec 21, 2014 #447 hzo mashine ni automatic au? ya mayai 500 bei gan kama automatc ?
Bill of Quantity JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 1,233 Reaction score 406 Dec 22, 2014 #448 very useful.
pozzyfaza JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,453 Reaction score 268 Dec 24, 2014 #449 hizi ni mannual mkuu. auto ya maya 500 ni mil.1 na lak 8
pozzyfaza JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,453 Reaction score 268 Dec 26, 2014 #451 nipo mbeya
pozzyfaza JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,453 Reaction score 268 Dec 27, 2014 #452 kama unahitaji mashine tuwasiliane
pozzyfaza JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,453 Reaction score 268 Jan 2, 2015 #453 nashukuru kwa wale mliotumia mashine zangu. Pia nashukuru kwa mlionipa feedback ya mafanikio yenu
srinavas JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,195 Reaction score 4,013 Jan 2, 2015 #454 pozzyfaza said: kama umekosa cha kuongea kaa kimya, ucje pata bwana humu Click to expand... Punguza ukali wa maneno mkuu. Hayo yalikuwa ni maoni yake tu/
pozzyfaza said: kama umekosa cha kuongea kaa kimya, ucje pata bwana humu Click to expand... Punguza ukali wa maneno mkuu. Hayo yalikuwa ni maoni yake tu/
pozzyfaza JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,453 Reaction score 268 Jan 3, 2015 #455 usijali mkuu. Ila anazingua
Pawaga JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 1,349 Reaction score 1,011 Jan 3, 2015 #456 Asante mkuu,. Mi npo kijijini na source ya power ni SOLAR TU. Je hakuna mashine ya hvyo? Itanigharimu shilingi ngapi kwa mashine ya mayai 200 ya solar?.
Asante mkuu,. Mi npo kijijini na source ya power ni SOLAR TU. Je hakuna mashine ya hvyo? Itanigharimu shilingi ngapi kwa mashine ya mayai 200 ya solar?.
pozzyfaza JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,453 Reaction score 268 Jan 4, 2015 #457 karibu mkuu naamini ww ndiye ulinipigia yester9t, na tukakubaliana utafika kwangu tuweze kuongea,
IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 801 Jan 4, 2015 #458 he mnaweza hudumia wafugaji kutotoa mayai tu, je yaweza kuwa sh ngapi? MTU alete mayai, achukue vifaranga.
he mnaweza hudumia wafugaji kutotoa mayai tu, je yaweza kuwa sh ngapi? MTU alete mayai, achukue vifaranga.
A Albimany JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 281 Reaction score 114 Jan 5, 2015 #459 Albimany said: Mkuu shida yangu Click to expand... Mkuu shida yangu ni hapa kwenye setting. Kwa maeneo kama ya Dar humidity inatakiwa kua ngapi.? Na temp iwe ngapi? Kwasababu niliguata maelekezo ya menu ya kitabu nika weka temp37.5/37.0 Na siku ya 19 nainadilisha pia. Lakini vifaranga hatotolewi vyote na wanaototolewa wanakua walemavu wa miguu? Labda unaushauri kuhusu hili? Au Mdau yoyote anaweza kunipa ishauri nini kifanyike. Nafikiri litakuja swali mashine unayotumia. Najibu kabisa: Ni brinsea na ni auto. Brinsea ni katika mashine maarufu duniani na zina ubora kiasi fulani.
Albimany said: Mkuu shida yangu Click to expand... Mkuu shida yangu ni hapa kwenye setting. Kwa maeneo kama ya Dar humidity inatakiwa kua ngapi.? Na temp iwe ngapi? Kwasababu niliguata maelekezo ya menu ya kitabu nika weka temp37.5/37.0 Na siku ya 19 nainadilisha pia. Lakini vifaranga hatotolewi vyote na wanaototolewa wanakua walemavu wa miguu? Labda unaushauri kuhusu hili? Au Mdau yoyote anaweza kunipa ishauri nini kifanyike. Nafikiri litakuja swali mashine unayotumia. Najibu kabisa: Ni brinsea na ni auto. Brinsea ni katika mashine maarufu duniani na zina ubora kiasi fulani.
bluetooth JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 4,402 Reaction score 2,550 Jan 6, 2015 #460 IPILIMO said: he mnaweza hudumia wafugaji kutotoa mayai tu, je yaweza kuwa sh ngapi? MTU alete mayai, achukue vifaranga. Click to expand... Kama upon Dar es salaam tuwasiliane ..... tunakuangulia vifaranga kwa Mayai ya kuku wako kwa ufanisi mkubwa
IPILIMO said: he mnaweza hudumia wafugaji kutotoa mayai tu, je yaweza kuwa sh ngapi? MTU alete mayai, achukue vifaranga. Click to expand... Kama upon Dar es salaam tuwasiliane ..... tunakuangulia vifaranga kwa Mayai ya kuku wako kwa ufanisi mkubwa