Automatic egg incubator made by mge
Nasi pia tunauza Automatic incubator mayai 7, 48, 96, 106 kutoka China.Anaehitaji aweza kuni PM
Tatizo lipo wapi ndugu? soma the initial thread hope utaelewakwanini usianzishe uzi wako mkuu au ndo mtelezo umepata????????????????
Labda ninyi mnaosoma ndo hamfungui matangazo yetu vizuri,sio kweli kabisa kuwa kila kona tupo,inategemeana na chombo unachotumia kufungua jamii forum kina uwezo gani.,vinginevyo zitakuchanganya sana.
Jambo la pili tapeli ni tapeli tu,na tapeli haweki matangazo kila kona kama unavyosema,tapeli anaweza kuwa hata kama wewe,watu wakaona umesema la maana,wakakuamini,ukawatapeli.
Sisi mge sio matapeli,na ninaomba sana utuombe radhi kwa kauli hiyo isiyo ya kiustarabu.kama ungetaka kutushauri ungetupigia hata simu au kuandika inbox,lakini si kama ulivyofanya.
Sisi sio matapeli,ni kampuni iliyosajiliwa kisheria,na kama unahitaji taarifa zetu wasiliana nasi kupitia sido mtwara,sido dar es salaam,au karibu ofisini.
Au tupigie simu.
kuna incubator iko sokoni.. ni automatic ila mayai unageuza manually. iko very effecient na utotoleshaji ni zaidi ya asilimia 85.
inatumia umeme mdogo sana. hata solar yenye uwezo wa kuwasha taa mbili inauwezo wa kuiendesha.
capacity yake ni mayai 400. inauzwa kwa sh laki saba. kama uko interested ni pm mawasiliano yako.
Napenda kutoa onyo kwa wale wote wenye tabia ya kuchomeka matangazo yao kwenye thread zangu,wakati biashara ni hiyohiyo.Natoa onyo kali kwa atakaerudia.