CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Hio ndogo ya mayai 150 inaweza patikana kwa bei gani????
Incubator zinategemeana bei kulingana na manufacture, Ila ushauri wangu na kwa wengine wote kuliko kuchukua incubator ya mayai 150-300 bora kuchukua incubator ya mayai 880 -1000 na zaidi.
SABABU KUU NI KWAMBA Gharama za kutumika kutengeneza incubator ya mayai 150-300 ni sawa na gharama za kutengeneza incubator ya mayai 800 na kuendelea, kinacho zitofautisha ni ile body ambayo hata hivyo sio gharama sana vitu vingine vyote ni sawa.
Chukulia mfano wa Memory card, flash au external, utaona kwamba bei ya external ya GB 500 inatofautiana kidogo sana bei na external ya GB 1000