Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Mashine ya mge ikiwa imekamilika,hapa insonekana ilivyo ndani
1414756284673.jpg
 
Mwalimu eliasante akiwa na mashine inayoendelea kukamilishwa ktk kampuni ya mge
1414759327421.jpg
 
Mashine za kutotoleshea mayai za kampuni ya mge, sisi kama mge tunaunda mashine za kutotoleshea mayai ya ndege wa aina zote.

Tunaunda mashine zenye kutumia mafuta ya taa au umeme.

Mashine za umeme zipo za aina tatu.
Moja ni inayochukua mayai chini ya mia hamsini, hii unageuza mayai kwa mkono.

Ya pili inachukua mayai zaidi ya mia hamsini mpaka idadi unayotaka,hii unageuza nanualy kwa kutumia handle maalumu.

Ya tatu ni ile inayojiendesha yenyewe,automatic,hii inachukua mayai zaidi ya mia themanini.

Tunapenda wateja wetu waelewe kuwa tunahitaji sana kuwapa bidhaa kwa bei rahisi zaidi ya hapo,lakini tunaogopa kushusha ubora wa bidhaa zetu.
Naamini hakuna kampuni ya kizalendo kwa hapa tanzania kwa sasa ambayo inaunda mashine za kutotoleshea mayai kwa bei ya chini kama mge.

Tunawaomba wateja wetu, wasituombe kupunguziwa bei ya bidhaa zetu kwani hapa tumepunguza sana.

Kabla ya kuja kwetu uulizia makampuni mengine wanauzaje,sio kukurupuka tu badala ya kufanya utafiti.

Mfano,mteja mmoja alihitaji automstic ya mayai mia tatu, nikamwambia ni milioni moja na laki mbili, akasema ni gharama kubwa sana,akaniambia watu wa kenya wanauza zao supermarket, ya mayai 1400,wanauza milioni sita na laki sita.

Nilishangaa sana, kwani sisi tunauza ya mayai 2000 kwa milioni nne na nusu,na tunauza na backup.

Hapo nadhani wasomaji mtafahamu yupi bei yake iko chini kati ya wakenya na sisi mge.

Pia napenda kutoa tahadhari,sio vizuri sana kuomba kupunguziwa bei kwani unaweza kusababisha utengenezewe kitu chenye thamani ya pesa yako. Angalieni bidhaa za kichina,samsung galaxnote3, inauzwa sabini elfu au laki moja, je original insuzwa hivyo?

Hatutaki wateja wetu wapate bidhaa hafifu zisizodumu, tunataka wateja wetu wakinunua bidhaa zetu warudishe asante na pongezi nyingi sana kwetu.
Hatutaki leo wachukue baada ya siku mbili wapige simu za matatizo.

Huu ni mwaka wa saba nashukuru hakuna malalamiko kwa bidhaa za mge. Karibuni wote na nsiokuwa na mayai tutawaunganisha na wauzaji wa mayai aina zote.

Piga simu.0784413039.
 
Mashine za kutotoleshea mayai za kampuni ya mge
sisi kama mge tunaunda mashine za kutotoleshea mayai ya ndege wa aina zote.
Tunaunda mashine zenye kutumia mafuta ya taa au umeme.
Mashine za umeme zipo za aina tatu.
Moja ni inayochukua mayai chini ya mia hamsini,hii unageuza mayai kwa mkono.
Ya pili inachukua mayai zaidi ya mia hamsini mpaka idadi unayotaka,hii unageuza nanualy kwa kutumia handle maalumu.

Ya tatu ni ile inayojiendesha yenyewe,automatic,hii inachukua mayai zaidi ya mia themanini.

Tunapenda wateja wetu waelewe kuwa tunahitaji sana kuwapa bidhaa kwa bei rahisi zaidi ya hapo,lakini tunaogopa kushusha ubora wa bidhaa zetu.
Naamini hakuna kampuni ya kizalendo kwa hapa tanzania kwa sasa ambayo inaunda mashine za kutotoleshea mayai kwa bei ya chini kama mge.
Tunawaomba wateja wetu,wasituombe kupunguziwa bei ya bidhaa zetu kwani hapa tumepunguza sana.
Kabla ya kuja kwetu uulizia makampuni mengine wanauzaje,sio kukurupuka tu badala ya kufanya utafiti.

Mfano,mteja mmoja alihitaji automstic ya mayai mia tatu,nikamwambia ni milioni moja na laki mbili,akasema ni gharama kubwa sana,akaniambia watu wa kenya wanauza zao supermarket,ya mayai 1400,wanauza milioni sita na laki sita.
Nilishangaa sana,kwani sisi tunauza ya mayai 2000 kwa milioni nne na nusu,na tunauza na backup.
Hapo nadhani wasomaji mtafahamu yupi bei yake iko chini kati ya wakenya na sisi mge.
Pia napenda kutoa tahadhari,sio vizuri sana kuomba kupunguziwa bei kwani unaweza kusababisha utengenezewe kitu chenye thamani ya pesa yako. Angalieni bidhaa za kichina,samsung galaxnote3,inauzwa sabini elfu au laki moja,je original insuzwa hivyo?
Hatutaki wateja wetu wapate bidhaa hafifu zisizodumu,tunataka wateja wetu wakinunua bidhaa zetu warudishe asante na pongezi nyingi sana kwetu.
Hatutaki leo wachukue baada ya siku mbili wapige simu za matatizo.
Huu ni mwaka wa saba nashukuru hakuna malalamiko kwa bidhaa za mge.
Karibuni wote na nsiokuwa na mayai tutawaunganisha na wauzaji wa mayai aina zote.

Piga simu.0784413039.

mim ni mgeni na hiyo mashine na kwa muda mrefu nimekuwa interested sana kufanya biashara ya kutotolesha mayai...napenda kujua hiyo mashine ya automatic inatumia umeme ni kiasi gani lkn pia umeme ukikatika risk yake ni nini? asante
 
Mwankole, mashine zetu ni rahisi sana kuzitumia, bada ya nusu saa unakuwa tayari unaweza kuitumia.

Kuhusu umeme zinatumia umeme kidogo sana, ni kama friji, feni au tv
mashine hazizidi wati mia sita.

Umeme ukikatika kwa muda wa masaa manawili hakuna madhara ktk mayai, ila zaidi ya masaa hayo mayai yanaharibika.

Njia ya uhakika ni kuwa na jenereta au solar au vinginevyo utumie ya mafuta ya taa.

Karibu sana ndugu zangu.
 
Sista,ni kweli fursa hizi sio za kuzikosa,watu wengine wanapuuzia lakini ukweli ni kuwa atakaenunua mashine leo na kuanza kutotolesha atakuwa ameoiga hatuasana kuliko wewe ambae unaendelea kuchekewa.
 
Ok...nimekupata vema. Mie ninahitaji mashine ya kutotoreshea ila ya kutumia betri je inawezekana maana huku kwangu hakuna umeme minatia solar ambayo inazaliaha wt 75,je itafaa?
 
Mwankole,mashine zetu ni rahisi sana kuzitumia,bada ya nusu saa unakuwa tayari unaweza kuitumia.
Kuhusu umeme zinatumia umeme kidogo sana,ni kama friji,feni au tv
mashine hazizidi wati mia sita.
Umeme ukikatika kwa muda wa masaa manawili hakuna madhara ktk mayai,ila zaidi ya masaa hayo mayai yanaharibika.
Njia ya uhakika ni kuwa na jenereta au solar.au vinginevyo utumie ya mafurmta ya taa.
Karibu sana ndugu zangu.

Elisante, asante kwa ufafanuzi wako nitakutafuta ili nijifunze zaidi na kuinunua hiyo mashine.
 
Mashine ambayo ni bei ya chini kabisa ni ya mafuta ya taa,ya mayai therathini ambayo tunauza laki moja na nusu.
na mashine ndogo kabisa ya umeme ambayo inachukua mayai therathini inauzwa laki mbili na ishirini.
NB.mashine hizo unageuza mayai kwa mkono,mayai yanaweza kuwekwa kati ya mayai therathini mpaka arobaini.

Tuna mashine zinazotumia inverter,kwa wenye umeme wa silor zinawafaa sana.

Pia tunaunda mashine za kutumia umeme au mafuta ya taa.ambazo bei zake ni laki tatu ya mayai sitini,mayai unageuza kwa mkono kila baada ya masaa nane,au mara mbili kwa siku,yaani mara mbili ktk masaa 24.
 
Mayai therathini ni laki moja na elfu kumi na tano ya mafuta ya taa
 
Habarini wakuu. Naombeni kuuliza incubator inauzwa sh ngapu?? Ya bei ya chini kabisa ni sh ngapi?? Na inabeba mayai mangapi?? Na ya bei kubwa kabisa ni sh ngapi na inabeba mayai mangapi??
 
mkuu pole na majukumu kama unahitaji kwa ajili ya ufugaji wa kawaida nunua ya mayai 48 ina maana kila mwezi una vifaranga 48. mlimani city (nakumat) ipo ila ni ghali
 
Ndugu yangu muteyan

umeuliza utapata wapi incubator.

Mimi ni mmiliki wa kampuni ya mge inayounda egg incubator za aina zote hapa tanzania.

Mashine zetu ni imara na za uhakika,kwani ni bei rahisi kwakuwa tunatumia vifaa vya hapahapa tz.

Mashine za nje ni gharama kubwa sana,lakini ukija mge,tutakuuzia mashine ya mayai mia tatu kwa tsh.milioni moja na laki tatu,ya umeme automatic.ya umeme automatic ya mayai sitini tutakuuzia kwa laki tano tu.na ya mafuta ya taa manual ya mayai mia hamsini tunauza laki tano.

Karibu,0784413039
 
Manual ya mayai mia sita,mge tunaunda kwa milioni moja na nusu.
1415908778663.jpg
 
Mge ni kampuni iliyopo mkoani dar es salaam,tunashughulika na kuunda mashine za kutotolesha mayai.

Tunaunda mashine za aina mbalimbali,za mafuta ya taa na za umeme.tunaunda kwa oda kufuatana na mahitaji ya mteja.

Tutembembelee page yetu,,,,,facebook,,,,,,,,,mwakalinga general enterprises,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

pia tunaunda inveta za kuendesha friji kwa bei rahisi sana.tunakupatia umeme wa uhakika ktk nyumba yako kwa gharama nafuu sana.

Pia tunafanya utafiti wa kuunda incubator zinazotumia umeme wa dc.

Hivi karibuni zitakuwq tayari na tutazitangaza hewani

tunawakaribisha watu wote wenye mahitaji ya inveta au mashine za kutotoleshea mayai ya aina zote.

Karibuni sana.

0784413039
 
Back
Top Bottom