INAUZWA Mashine za miwa, bakery, ice cream, pea nut, chips, juicer n.k

INAUZWA Mashine za miwa, bakery, ice cream, pea nut, chips, juicer n.k

Job Richard

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
3,876
Reaction score
2,190
Unahitaji mashine sasa Najidakia store & General supply tupo Kwa ajili yako

mashine ya juice ya miwa utaipata Kwa million moja na Laki mbili tu inachuja na kuacha juisi yako ikiwa safi kabisa mtu mmoja anaweza kuendesha hii mashine weka oda yako sasa

mashine Zote za bakery utazipata nitazichambua moja baada ya nyingine

Mashine za bakery

mashine za pea nut butter million moja na Laki mbili tu uwezo wake kg 25 Kwa SAA

mashine ya ice cream million mbili na Laki sita inaweza kuzalisha zaidi ya Lita 200 Kwa siku

mashine ya chockstick yenye kuzalisha piece 40 Kwa dakika 15-20 hii ni million mbili na Laki tano (used)
Mpya 2.9m

na yenye kuzalisha piece 80 dakika 15-20 hii ni million nne

MASHINE ZA BAKERY

Unahitaji kuanzisha bakery au mashine mojawapo katika bakery,mgahawa au hoteli hapa najidakia store unazipata inapatikana Ilala Dar es salaam
Simu 0659567058

Mashine zilizopo najidakia store
Oven list yake hii
1layer na tray 1&2 umeme 1300000
Na kwa gas 1900000

2layers na tray 4 umeme 2800000
Gas 3200000

3layers na tray 6 oven umeme 4000000 na gas 4200000

3layers na tray tisa hii ni pana sana umeme 6.8m na gas 7.6m

Displays

Hizi zipo aina tofauti
Zipo millioni 4
Millioni mbili na laki nane


Juice dispensers

Tray mbili 950000
Tray tatu 1400000

Mixers

Cake mixer 2.5kg hizi laki saba tu
Cake mixer 8kg 1.3m
Cake mixer 12.5kg 2m
Cake mixers 25kg 4.8m

Spiral mixers 12.5kg 2m
Spiral mixers 25kg 4.5m
Spiral mixers 50kg 9m

PROOFER

Proofer zipo aina Mbili mlango mmoja -laki tisa na nusu na milango miwili million moja na laki nane

DISPLAYS

ZIPO ZA 1900000
2800000
4000000 N. K

OVEN AINA ZOTE
MIXER
bread slicers
lolote mawasiliano 0779593460

IMG_20190711_163116.jpeg
IMG_20190711_163122.jpeg
IMG-20190709-WA0025.jpeg
IMG-20190709-WA0022.jpeg
IMG-20190610-WA0001.jpeg
IMG_20190212_100809_358.jpeg
IMG_20190404_162911_423.jpeg
IMG-20180725-WA0005.jpeg
images%20(16).jpeg

NITACHAMBUA KILA KITU FUATILIA HAPA
 
Kuna vitu navihtaj bahat nzur nimeviona hapa,
food warmer showcase na mixer,
natarajia uchambue zaid ila maswali ni je
hio food warmer mliyonayo ni ip kat ya hzo?
naweza pata picha halisi?
ni sh ngap kwa ya ujazo gan/plate ngap?

images(14).jpeg

images(25).jpeg


WA-IMG-20190709-41623316.jpg

images(16).jpeg

Hizi mixer ni ip mliyonayo? Planetary au Spiral au zote?
WA-IMG-20190630-d9b0e741.jpg


Ni sh ngap kwa mfano yenye ujazo wa 8 na je ni katika kizio cha ltr/kg/qt/lbs?
Maana watu weng wanabug sana kununua mixer pasipo kujua ya kwamba inatakiwa ujue zinatofautiana kazi mfn ya kukandia unga mzito na unga wa keki na pizza.
je ni kweli unaweza ukatumia planetary mixer kukandia unga mzito lakini kwa ujazo mdg zaid ya ukubwa wa mixer?

Mzee naomb unijb hayo maswali serious
 
Unahitaji mashine sasa Najidakia store & General supply tupo Kwa ajili yako

mashine ya juice ya miwa utaipata Kwa million moja na Laki mbili tu inachuja na kuacha juisi yako ikiwa safi kabisa mtu mmoja anaweza kuendesha hii mashine weka oda yako sasa

mashine Zote za bakery utazipata nitazichambua moja baada ya nyingine


mashine za pea nut butter million moja na Laki mbili tu uwezo wake kg 25 Kwa SAA

mashine ya ice cream million mbili na Laki tano inaweza kuzalisha zaidi ya Lita 200 Kwa siku

mashine ya chockstick yenye kuzalisha piece 40 Kwa dakika 15-20 hii ni million mbili na Laki tano na yenye kuzalisha piece 80 dakika 15-20 hii ni million tatu na Laki tano


MASHINE ZA BAKERY

OVEN AINA ZOTE
MIXER
bread slicers
lolote tupigie 0762612213

View attachment 1151471View attachment 1151472View attachment 1151473View attachment 1151474View attachment 1151475View attachment 1151476View attachment 1151477View attachment 1151478View attachment 1151479
NITACHAMBUA KILA KITU FUATILIA HAPA
Sawa kiongozi
 
Nahitaji handle ya mashine ya ice cream(zile zinazovutwa kutolea ice cream)
kama unazo,unauza bei gani!!?
 
Mkuu naona machine nyingi apo, ya kukamua juice ya miwa ni ipi hapo, please naitafuta xana
 
Back
Top Bottom