KERO Mashine za Mpunga zimekuwa kero na hatari kwa Afya za watu hapa Soko la SIDO - Mbeya

KERO Mashine za Mpunga zimekuwa kero na hatari kwa Afya za watu hapa Soko la SIDO - Mbeya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
ila ni kweli, kumekua na changamoto hii ya mabaki ya mpunga kua kero saana. napendekeza hizi mashine kama inawezekana zingehamishwa na kupelekwa pembeni ya mji kidogo ili kukifanya soko la SIDO kua safi
 
Tanzania hapa hakuna anaejali mipango Miji na hasa huko Mbeya.

Hao wafanyabiashara waliochagua wenyewe hapo Sido.

Mwisho unawekaje viwanda hapo Mjini Kwa nini visiende Uyole,Mbalizi na maeneo mengine ya Nje ya Mji?
Uyole ni nje ya mji?
 
ila ni kweli, kumekua na changamoto hii ya mabaki ya mpunga kua kero saana. napendekeza hizi mashine kama inawezekana zingehamishwa na kupelekwa pembeni ya mji kidogo ili kukifanya soko la SIDO kua safi
Kabisa
 
Binadamu mwenye ngozi nyeusi ni Nyani wawezao kuvaa nguo na miwani
 
Dah kitambo sana ilikuwa n njia yangu kwenda shule fulani hv inaitwa Phinelia mwaka 2015
 
Maendeleo ya viwanda ni muhimu sana. Wafanyabiashara wapelekwe eneo ulilopendekeza
 
Back
Top Bottom