Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TANESCO ? Unataka upate gawio kutoka UDSM?Nashangaa kwa Sasa hakuna shirika la umma linalotoa gawio kwa serikali ni upuuzi kuamini kwamba tanesco Haina fedha za nguzo Sasa wanafanya biashara au wanatoa huduma???
Nashangaa kwa Sasa hakuna shirika la umma linalotoa gawio kwa serikali ni Upuuzi na Ujinga kuamini kwamba tanesco Haina fedha za nguzo Sasa wanafanya biashara au wanatoa huduma???
Nauunga mkono hojaIle ilikuwa ni sanaa Mzee na wewe uliamini kuna gawio.
Kumbuka CAG alisema mashirika mengi yalikuwa yanapata hasara mfano TTCL na ATCL ambayo nayo yslikuwa mstari wa mbele kutoa gawio.
Sasa hilo gawio lilikuwa linatoka kwenye faida ipi kama sio usanii wa kufuraisha watu!!
Yule jamaa ilibidi kaburi lake lifukuliwe atandikwe viboko kwa kutudanganya.
Alituokota sana.
TTCL na vodacom vinatofauti sana kwenye swala la biashara. Kwanza angalia kwenye biashara imecover eneo kubwa kiasi gan (idadi ya wateja walionao) alaf utambue mapato na matumizi yaoTumieni ubongo kujibu Kuna tofauti gani Kati ya ttcl na Vodacom iweje upate hasara wewe ttcl au tanesco inayonunua umeme pale songas na kumuuzia mwananchi kwa Bei ya Juu
Kuna mlevi hapa anasema "huwa hakuna gawio kwenye hasara"
Sijui ni kweli!?
[emoji1787][emoji1787]Ile ilikuwa ni sanaa Mzee na wewe uliamini kuna gawio.
Kumbuka CAG alisema mashirika mengi yalikuwa yanapata hasara mfano TTCL na ATCL ambayo nayo yslikuwa mstari wa mbele kutoa gawio.
Sasa hilo gawio lilikuwa linatoka kwenye faida ipi kama sio usanii wa kufuraisha watu!!
Yule jamaa ilibidi kaburi lake lifukuliwe atandikwe viboko kwa kutudanganya.
Alituokota sana.
Alafu board meeting wanaenda kufanyia DubaiNashangaa kwa Sasa hakuna shirika la umma linalotoa gawio kwa serikali ni Upuuzi na Ujinga kuamini kwamba tanesco Haina fedha za nguzo Sasa wanafanya biashara au wanatoa huduma???
Kwa 27,000 utanunua nguzo?Nashangaa kwa Sasa hakuna shirika la umma linalotoa gawio kwa serikali ni Upuuzi na Ujinga kuamini kwamba tanesco Haina fedha za nguzo Sasa wanafanya biashara au wanatoa huduma???
Kama yanapata hasara mbona mishahara yao bado ni mikubwa kuliko Halmashauri ambao wanaingiza mabilioni kwa mwaka?Ile ilikuwa ni sanaa Mzee na wewe uliamini kuna gawio.
Kumbuka CAG alisema mashirika mengi yalikuwa yanapata hasara mfano TTCL na ATCL ambayo nayo yslikuwa mstari wa mbele kutoa gawio.
Sasa hilo gawio lilikuwa linatoka kwenye faida ipi kama sio usanii wa kufuraisha watu!!
Yule jamaa ilibidi kaburi lake lifukuliwe atandikwe viboko kwa kutudanganya.
Alituokota sana.
Na kama kuna hasara kwanini waendelee kulipana mishahara mikubwa kuliko watumishi wa Halmashauri ambapo halmashauri nyingine kama Kinondoni, Temeke, Mafinga wanaingiza mabilioni ya makusanyo kwa mwaka?Tumieni ubongo kujibu Kuna tofauti gani Kati ya ttcl na Vodacom iweje upate hasara wewe ttcl au tanesco inayonunua umeme pale songas na kumuuzia mwananchi kwa Bei ya Juu