Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,092
Watu wanaropoka tuu utadhani waajiriwa wakurugenzi wa hayo Mashirika.
Mtoa maada kauliza fact mbona siku hizi hakuna magawio serikalini...???
Majibu yao kama mtu kala uharo wa mtoto akizania mtori.
We unataka kusema katika mashirika yote Tanzania hakuna lenye kuweza kuleta Gawio katika serikali...??? Ama unajibu kwa mhemko tuu wa chuki...???
Mfano hayo madarasa yanayo Jengwa unataka kusema madarasa yote ya nchi nzima ya viwango sawa mpaka pasipatikane hata mtu mmoja alie jenga Darasa chini ya kiwango...???
Watu hamjui ila ukweli tunaumizanaaa wenyewe kwa wenyeweee
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app