Mashirika mbona hayatoi gawio kama tulivyozoea wakati wa awamu ya tano?

Mashirika mbona hayatoi gawio kama tulivyozoea wakati wa awamu ya tano?

Watu wanaropoka tuu utadhani waajiriwa wakurugenzi wa hayo Mashirika.

Mtoa maada kauliza fact mbona siku hizi hakuna magawio serikalini...???

Majibu yao kama mtu kala uharo wa mtoto akizania mtori.
We unataka kusema katika mashirika yote Tanzania hakuna lenye kuweza kuleta Gawio katika serikali...??? Ama unajibu kwa mhemko tuu wa chuki...???

Mfano hayo madarasa yanayo Jengwa unataka kusema madarasa yote ya nchi nzima ya viwango sawa mpaka pasipatikane hata mtu mmoja alie jenga Darasa chini ya kiwango...???

Watu hamjui ila ukweli tunaumizanaaa wenyewe kwa wenyeweee

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Zile zilikuwa sarakasi za kumfurahisha mfalme juha.
 
Ile ilikuwa ni sanaa Mzee na wewe uliamini kuna gawio.

Kumbuka CAG alisema mashirika mengi yalikuwa yanapata hasara mfano TTCL na ATCL ambayo nayo yslikuwa mstari wa mbele kutoa gawio.

Sasa hilo gawio lilikuwa linatoka kwenye faida ipi kama sio usanii wa kufuraisha watu!!

Yule jamaa ilibidi kaburi lake lifukuliwe atandikwe viboko kwa kutudanganya.

Alituokota sana.
Aisee! Mbona unachekesha watu Sana wewe! Ila ni kweli! Alikuwa muongo Sana!
 
Nashangaa kwa Sasa hakuna shirika la umma linalotoa gawio kwa serikali ni Upuuzi na Ujinga kuamini kwamba tanesco Haina fedha za nguzo Sasa wanafanya biashara au wanatoa huduma???
Kwa sasa ukiona gawio ujue ni ukweli ila kipindi kile yalikuwa maigizo.

VP akipokea gawio 👇

Screenshot_20220412-202016.png
 
TTCL na vodacom vinatofauti sana kwenye swala la biashara. Kwanza angalia kwenye biashara imecover eneo kubwa kiasi gan (idadi ya wateja walionao) alaf utambue mapato na matumizi yao
Weweeee ttcl ndiye mama anayemiliki mkongo wa mawasiliano wa taifa na kuiuzia mitandao yote nchini na nchi za jirani kivipi apitwe na vodacom?

Maajabu haya yapo tanzania pekee na nadhani tunaoaswa kuingia kwenye maajabu saba ya Dunia, yani ni sawa na NBC bank kuwa na utajiri mkubea kuipita BOT
 
Back
Top Bottom