Siyo kweli. Mmoja ni mzalishaji na mtafiti huku mwingine ni mamlaka ya usimamiziKipindi inaitwa TFDA nafikiri ndo ilikuwa inaendana sana na TBS.
Nimeonelea hii TMDA na NIMRI ziwekwe pamoja maana zote zinabase kwenye madawa.
NIMR haihusiki na Madawa inahusika na Utafiti
TMDA labda ikaunganishwe na TPRI (sijui siku hizi inaitwaje?)NIMR imejikita kwenye tafiti za magonjwa ya binadamu.
TMDA imejikita kwenye udhibiti wa madawa ya binadamu na mifugo.
Ebu fikiria tena namna ya kuziunganisha
TARURA ni ya kufuta kabisa. Haina inachofanya maana barabara za mitaani zipo TAMISEMI yani haitakiwi hata kupewa bajeti maana ni ufisadi mtupuMkuu kwa haraka haraka nimegundua unafaidika na moja ya Taasisi kati ya TARURA au TANROADS kwahyo ukiona wazo kama hilo la kuziunganisha unaona kama ugali unaingia mchanga...
Mkuu ni kawaida kuogopa mabadiliko ila lazma tufanye mabadiliko kwa ustawi wa maisha ya baadae
Wewe nunda hujui hata usemalo!LATRA na SUMATRA
TARURA na TANROADS
Japo kuna mstari mwembamba sana kati ya Utafiti na Tiba lakini utafiti unadeal na vitu vingi sana na Tiba its just a minor Sana..Ndiyo inahusika na utafiti, lakini katika utafiti kuna tiba.
Japo kuna mstari mwembamba sana kati ya Utafiti na Tiba lakini utafiti unadeal na vitu vingi sana na Tiba its just a minor Sana..
SUMATRA iligawanywa na kuwa LATRA na nyingine ile ya usafiri wa majini (sikumbuki jina). Mimi ninaona imependeza ikiwa hivyo.Latra na Sumatra kwann wameachwa
Ccm ifutweee,iunganiswe na cuf,tlp,nccr,chauma🏃CCM NA POLISI
Sumatra haipo tena iligawanywa na kuzaa Latra na tasacLatra na Sumatra kwann wameachwa
Hapana mkuu Mi naona NIMR ndo ingeunganishwa na TPRI siku hizi Imeunganishwa na Maswala ya kilimo Inaitwa TPHPA..TMDA labda ikaunganishwe na TPRI (sijui siku hizi inaitwaje?)
Hii tungeziacha ziwe Moja kwa sababu..Kwenye Sekta Ya Ujenzi:
* AQRB: Architects And Quantity
Surveyors Registration Board.
- ERB: Engineers Registration Board.
- CRB: Contractors Registration Board.
Mkuu uko sahihi kabisa..Siyo kweli, mwanzoni ilikuwa TMDA wanaingilia kazi za TBS ndo maana ikatolewa kutoka TFDA kuwa TMDA kwa sasa wapo sahihi
[emoji122]Tungeanzia hapa DC & DED, tuwe na DED Tu Kwa wilayani
[emoji122]Nafikiri kabla ilikuwa kitu kimoja baadaye wakagawa kuwa LATRA NA TASAC
nahisi ilitosha kuwa idara 2 chini taasisi 1 tu.!