The way u writeHow? Young boy.
Na akizubaa anatorokwa Ili asipande kizimbani kwani akipanda TU, ataelekea jela kama rafiki yake aliyekula mvua30.Mwambie aje mahakamani!na wewe uje kumtetea kama hivyo,ulishindwa kumwonya mumeo mkiwa faraghani sasa unataka uaminike hadharani? Mumeo anaweza kufungwa jela any time soon,mshike vizuri mchepuko wako wa sasa.
Atajua hajuiKaripoti mahakamani acha makelele malyamungu
Sasa kila kitu kimeanza kuwa wazi kuwa kumbe hili taifa lina watu wasiofaa kabisa.
Ukiwadhibiti ili wasifanye uovu watakuvizia kwa kila namna ili mradi tu walipe kisasi sababu tu uliwadhibiti wasifanye uovu.
Makonda aliwadhibiti wanasiasa waovu, wauza unga, wakora wa kila aina. Sasa ndio wanataka kupata kuungwa mkono na umma wa watanzania ili walipe kisasi chao.
Wananchi wa kawaida hawataki upuuzi kama huu.
kuna muda unaweza ukadhani chadema huwalipa hawa jamaa wavae hivi😂, lakini ukifuatilia unagundua Mataga wengi ni wa hivi,kuna siku nimeona clip ya taarab ya zenji huko kijamaa kama hiki kinasifia mapinduzi
sio makonda ni DAUDI ALBETO BASHITEHuyo makonda anatakiwa kukamatwa haraka sana
Na ndio CHAWA wake mkubwaAtakuwa ZE MUTUZ
Kuwadhibiti watu sio kaZi ndogo.6Ukatili wake Dunia nzima inajuwa ..rejea Marufuku ya USA